Nini maana ya mapacha

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
640
Tumesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mama mmoja huko Kahama amejifungua..........watano. Nimeshindwa kujaza hapo kwa kuwa magazeti mengi yameandika mapacha na gazetio moja limeandika watoto . Mwanzoni mimi nilidhani mapacha linatokana na neno la kiingereza twins yaani two. Je kwa kiswahili chetu, mapacha ni wawili au wengi?
naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…