The Stranger
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 274
- 253
Halafu hii concept ya kua dunia inajaa watu ni uongo mtupu..naturally dunia haiwezi kujaa to the extent that inaleta madhara, haiwezi na haitaweza.. tumekakarishwa tokea mashulen huko kuwa dunia ina undergo overpopulation na kwamba watu inabidi wapunguze kuzaliana.. lakin ukichunguza kwa makin ni kinyume kabisa na agizo la MUUMBAJI mwenyewe kuwa tuzae tuongezeke tuijaze nchi.Binadamu tunaongezeka kwa Kasi sana ni hatari kwa dunia ni vyema tuwe balance Kuna umuhimu mkubwa mno na moja ya kitu kinachofanya watu tuwe wengi Sana ni huduma zinazokidhi za afya na chakula pamoja na amani.
Sio vibaya kuwa na hivyo vitu ni Jambo zuri lakini sio wote wanaokubali kuwa balance tunazaliana hovyo mwishowe dunia itushindwe kutumudu!. Naomba nisiongeze Wala nisipunguze ila niishie hapo.
Kizazi chako kijacho kikija kusoma hii komenti yako watajilaumu kwanini hukuyajua haya!.Halafu hii concept ya kua dunia inajaa watu ni uongo mtupu..naturally dunia haiwezi kujaa to the extent that inaleta madhara, haiwezi na haitaweza.. tumekakarishwa tokea mashulen huko kuwa dunia ina undergo overpopulation na kwamba watu inabidi wapunguze kuzaliana.. lakin ukichunguza kwa makin ni kinyume kabisa na agizo la MUUMBAJI mwenyewe kuwa tuzae tuongezeke tuijaze nchi.
Yani hadi sasa kuna maeneo makubwa hajawa covered na watu.. ni mapori na vijijin huko.. lakin utasikia eti dunia iko overpopulated na kua inatakiwa iwe depopulated, mi hainiingii akilini kabisa... Sio bure kuna agenda itakuwa imejificha ya depopulation humu.
mkuu kwa kuwa wewe tayari ulishaenda na kuona, hebu tuambie ni kwa vipi ndani ya miaka 5, marekani itapunguza watu milioni 200 na Tanzania watu milioni 20?On population projections, hiyo ni SIMPLE MATHEMATICS hata wewe unaweza kufanya kama ukiwekeza muda kidogo in that area, kama huamini nenda pale TANZANIA Bureau of Statistics ukaone hayo MAHESBU pale. Kwa hiyo hili si la ajabu kiviiile , labda mengine!
Hili swali anaweza kulijibu mleta mada hii, mimi siwezi ila kuhusu population projections, kama nilivyo sema ni suala la mahesabu tu. Halina any miracles!mkuu kwa kuwa wewe tayari ulishaenda na kuona, hebu tuambie ni kwa vipi ndani ya miaka 5, marekani itapunguza watu milioni 200 na Tanzania watu milioni 20?
wenye jicho kama lako mkuu ndio wanaona kinachoendelea. barikiwaCorona ndio experiment ambayo itaendelea kutumika ku - balance population!!!coz ni rahisi kutumika kwa wenye akili!!!Hadi sasa wamefanikiwa kutuaminisha ni ugonjwa kumbe ni mfumo wa kumaliza watu kwa kutumia kemikali za kupuliza kama Dawa ya Rungu inavo ua wadudu!!?JUHUDI ZINAENDELEA!!!