Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,485
- 6,200
nimependa maneno haya //muamini Mungu yupo//acha uoga muamini Mungu yupo achana na kujitafutia mambo yasiyokua na tija, hao wanaohangaika na mambo meengi ndio huwa wanaharibikiwa mwisho wa siku, kama kufa kila mtu atakufa sasa wasiwasi wa nini? kama wamarekani na majigambo yao yooote watapukutika kwa takwimu zako ulizotoa wewe ni nani uogope maana kwa mijibu wa bandiko lako tanzania tutapungua lakini sio kwa kiwango cha ajabu kama marekani si ushukuru Mungu tu?
Uko sahihi sana mkuu.Yatakuwa ni maandalizi ya agenda 2030, saa hizi kuna economic crisis kubwa sana inaendelea duniani na haionyeshi dalili za ku recover........kule marekani projections za kiuchumi hazileti matumaini na wapo kwenye hatari ya ku default kama hawata raise debt ceiling.....pia sintofahamu inayoendelea duniani kuyahusisha mataifa makubwa mfano china na marekani, iran na israeli inaweza ku trigger vita ya tatu ya dunia.......kuna abrupt changes ambazo zitatokea duniani come 2030, ndo maana hawa watu wa sirini wanaongelea hiki kitu ambacho hakieleweki kwa uwazi sana kilichobatizwa jina la agenda 2030.
KeyserSoze nakukaribisha pia usome post yangu hiiWebsite inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk.
Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si mtu tu wa kawaida kama mimi.
Mojawapo ya jambo nyeti linaloongelewa na website yake ni Matarajio ya idadi ya watu (Population projections) yatakavyokuwa hadi mwaka 2025 (miaka 4 ijayo) kwa kila nchi.
Ifuatayo ni mifano ya nchi chache.
View attachment 1966477
....
View attachment 1966480
.....
View attachment 1966481
....
View attachment 1966479
....
Kutokana na mifano hiyo hapo juu, tunapata summary ifuatayo:
Nchi Idadi ya sasa Inayotarajiwa 2025 Wanaotarajiwa kupungua China Bilioni 1.439 Bilioni 1.358 Milioni 80 Marekani Milioni 330 Milioni 99 Milioni 230 Urusi Milioni 145 Milioni 141 Milioni 4 Kanada Milioni 37 Milioni 26 Milioni 11 Taiwani Milioni 23 Milioni 18 Milioni 5 Ajentina Milioni 45 Milioni 41 Milioni 4 Polandi Milioni 37 Milioni 33 Milioni 4 Tanzania Milioni 60 Milioni 42 Milioni 18
Unaweza kusoma population projection ya nchi zote HAPA.
MASWALI
……………..
- Idadi ya watu itaongezeka au itapungua?
- Kiwango cha upunguaji ni kidogo au ni kikubwa?
- Ni kitu gani HASA kitafanya watu wapungue? Mfano, nini kitasababisha Wamarekani watoke milioni karibu 330 hadi milioni 99? Hao milioni 230 wataenda wapi?
Asilimia kubwa ya watu wana misemo yao waliyozoea. Husema, mzungu angetaka kutumaliza angeshatumaliza. Mzungu akuangamize ili apate faida gani?
…………
Please, think again. Huenda hujajua mambo MAOVU yanayoendelea ulimwenguni ambayo hata ukiambiwa, akili haiwezi kuyabeba. Utasema ni uongo tu.
How I wish someone could listen and see what is going on!
Au na wewe tukushushe ndiyo utajua ni kweli ila hautaona.Tunatishana Sana Ndugu Zangu
Mara Vigogo Wafa, Vigogo Wapukutika Ni Uzushi Mtupu
Anza kupungua wewe kwanza! Options, Glass ya bia na Fragil, kitanzi,. au meza vipande vya chupa, au kula sumu ya panya!Binadamu tunaongezeka kwa Kasi sana ni hatari kwa dunia ni vyema tuwe balance Kuna umuhimu mkubwa mno na moja ya kitu kinachofanya watu tuwe wengi Sana ni huduma zinazokidhi za afya na chakula pamoja na amani.
Sio vibaya kuwa na hivyo vitu ni Jambo zuri lakini sio wote wanaokubali kuwa balance tunazaliana hovyo mwishowe dunia itushindwe kutumudu!. Naomba nisiongeze Wala nisipunguze ila niishie hapo.
AMINA.Wanajisumbua hao.Yupo mwenye UFALME wa Mbinguni na Ardhini.Hakuna uwezekano wa kiumbe kumzidi maarifa Muumbaji.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hawataki kuanza kwa sababu wanasema sisi ni USELESS EATERS - kwamba hatuongezezi chochote kwenye uchumi wa dunia bali tunakula tu na hatuna faida.Anza kupungua wewe kwanza! Options, Glass ya bia na Fragil, kitanzi,. au meza vipande vya chupa, au kula sumu ya panya!
Namaanisha kuwa!
Kwanini hao wanaotaka tupungue, hawaanzi kujipunguza wao?? Kila binadamu anahaki ya kuishi (Right to live)
Kitu ambacho sio sahihi! wao kama wanaona sisi ni mzigo, , ni issue ya kufunga mipaka all around the world! na ikiwezekana bara kwa baraHawataki kuanza kwa sababu wanasema sisi ni USELESS EATERS - kwamba hatuongezezi chochote kwenye uchumi wa dunia bali tunakula tu na hatuna faida.
tamaa yao haiishii hapo. Wanataka pia na rasilimali zetu. Yaani dunia yote iwe na serikali moja inayoongozwa na UN --- kitu wanachoita new world order.Kitu ambacho sio sahihi! wao kama wanaona sisi ni mzigo, , ni issue ya kufunga mipaka all around the world! na ikiwezekana bara kwa bara
Nadhani New aworld Order, haijalenga kupunguza population, inalenga kuifanya dunia kuwa na single identy katika maeneo anuai hasa ya huduma, bidhaa na kazi!tamaa yao haiishii hapo. Wanataka pia na rasilimali zetu. Yaani dunia yote iwe na serikali moja inayoongozwa na UN --- kitu wanachoita new world order.
On population projections, hiyo ni SIMPLE MATHEMATICS hata wewe unaweza kufanya kama ukiwekeza muda kidogo in that area, kama huamini nenda pale TANZANIA Bureau of Statistics ukaone hayo MAHESBU pale. Kwa hiyo hili si la ajabu kiviiile , labda mengine!Website inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk.
Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si mtu tu wa kawaida kama mimi.
Mojawapo ya jambo nyeti linaloongelewa na website yake ni Matarajio ya idadi ya watu (Population projections) yatakavyokuwa hadi mwaka 2025 (miaka 4 ijayo) kwa kila nchi.
Ifuatayo ni mifano ya nchi chache.
View attachment 1966477
....
View attachment 1966480
.....
View attachment 1966481
....
View attachment 1966479
....
Kutokana na mifano hiyo hapo juu, tunapata summary ifuatayo:
Nchi Idadi ya sasa Inayotarajiwa 2025 Wanaotarajiwa kupungua China Bilioni 1.439 Bilioni 1.358 Milioni 80 Marekani Milioni 330 Milioni 99 Milioni 230 Urusi Milioni 145 Milioni 141 Milioni 4 Kanada Milioni 37 Milioni 26 Milioni 11 Taiwani Milioni 23 Milioni 18 Milioni 5 Ajentina Milioni 45 Milioni 41 Milioni 4 Polandi Milioni 37 Milioni 33 Milioni 4 Tanzania Milioni 60 Milioni 42 Milioni 18
Unaweza kusoma population projection ya nchi zote HAPA.
MASWALI
……………..
- Idadi ya watu itaongezeka au itapungua?
- Kiwango cha upunguaji ni kidogo au ni kikubwa?
- Ni kitu gani HASA kitafanya watu wapungue? Mfano, nini kitasababisha Wamarekani watoke milioni karibu 330 hadi milioni 99? Hao milioni 230 wataenda wapi?
Asilimia kubwa ya watu wana misemo yao waliyozoea. Husema, mzungu angetaka kutumaliza angeshatumaliza. Mzungu akuangamize ili apate faida gani?
…………
Please, think again. Huenda hujajua mambo MAOVU yanayoendelea ulimwenguni ambayo hata ukiambiwa, akili haiwezi kuyabeba. Utasema ni uongo tu.
How I wish someone could listen and see what is going on!
hicho ndicho wanacholenga mkuu.Nadhani New aworld Order, haijalenga kupunguza population, inalenga kuifanya dunia kuwa na single identy katika maeneo anuai hasa ya huduma, bidhaa na kazi!
Ingawa nayo ni Conspiracy tu.
sababu za kupungua watu ni nyingWebsite inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk.
Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si mtu tu wa kawaida kama mimi.
Mojawapo ya jambo nyeti linaloongelewa na website yake ni Matarajio ya idadi ya watu (Population projections) yatakavyokuwa hadi mwaka 2025 (miaka 4 ijayo) kwa kila nchi.
Ifuatayo ni mifano ya nchi chache.
View attachment 1966477
....
View attachment 1966480
.....
View attachment 1966481
....
View attachment 1966479
....
Kutokana na mifano hiyo hapo juu, tunapata summary ifuatayo:
Nchi Idadi ya sasa Inayotarajiwa 2025 Wanaotarajiwa kupungua China Bilioni 1.439 Bilioni 1.358 Milioni 80 Marekani Milioni 330 Milioni 99 Milioni 230 Urusi Milioni 145 Milioni 141 Milioni 4 Kanada Milioni 37 Milioni 26 Milioni 11 Taiwani Milioni 23 Milioni 18 Milioni 5 Ajentina Milioni 45 Milioni 41 Milioni 4 Polandi Milioni 37 Milioni 33 Milioni 4 Tanzania Milioni 60 Milioni 42 Milioni 18
Unaweza kusoma population projection ya nchi zote HAPA.
MASWALI
……………..
- Idadi ya watu itaongezeka au itapungua?
- Kiwango cha upunguaji ni kidogo au ni kikubwa?
- Ni kitu gani HASA kitafanya watu wapungue? Mfano, nini kitasababisha Wamarekani watoke milioni karibu 330 hadi milioni 99? Hao milioni 230 wataenda wapi?
Asilimia kubwa ya watu wana misemo yao waliyozoea. Husema, mzungu angetaka kutumaliza angeshatumaliza. Mzungu akuangamize ili apate faida gani?
…………
Please, think again. Huenda hujajua mambo MAOVU yanayoendelea ulimwenguni ambayo hata ukiambiwa, akili haiwezi kuyabeba. Utasema ni uongo tu.
How I wish someone could listen and see what is going on!
HeheheHawataki kuanza kwa sababu wanasema sisi ni USELESS EATERS - kwamba hatuongezezi chochote kwenye uchumi wa dunia bali tunakula tu na hatuna faida.