Nini maana ya kuoa?

Nini maana ya kuoa?

Labda ungefafanua kidogo ni mambo gani unayokumbana nayo mpaka umefikia uamuzi huo...tuanzie hapo
 
una mtazamo chanya sana..vema.. ila wote kuwa in one parralel line!!!! MUNGU tusaidie.
hahahahahahahaha atakuwa na moyo wa toilet paper, watu wanavumilia miaka 30 na wala haliilii ovyo
Nakubaliana na wewe ila kumbuka mpaka anaandika hapa hawezi kumuacha (kama ni kweli au ni kijana wa miaka 15 anatheorise tu kwa sababu hadi post ya 60 hajaonekana ukumbini). Hakuna ndoa isiyo na milima na mabonde na ndoa changa zinahitaji uvumilivu maana wakati huo huwa ni wa kutafuta fomula ya kuishi wote. Mtapigana vikumbo, mtazinguana n.k yote ni kutafuta fomula. Ikipatikana maisha yananyooka, bila kupatikana ni shida tu.
 
Chief, marriage is not a joke!

Kama you rushed into it, basi lazima uione kama kero. My first question to you, chief itakuwa; nini kimekufanya umuoe huyo binti? That's the biggest question. Then second, itakuwa; mmekaa/kuishi pamoja kwa muda gani kabla ya kumuoa? (sio kuwa kwenye mahusiano, kuishi pamoja), then ya tatu is muda gani mpo kwenye mahusiano kabla ya ndoa?.

Maana, once you marry s'one that means, mnakubaliana kuishi pamoja, na katika kira maamuzi ya maisha/tukio katika maisha yako, yeye lazima awe included.

Marrying a woman, is agreeing to her flaws and living with them, is agreeing to involve yo'love of yo'life in all your decisions,daily activities,choices and plans. Marrying a woman, is a public choice of acknowledging that the woman who you married is yo'woman and yo'proud of her in that public. Marriage is a physical, emotional, intellectual, and love bond.

Sasa kama hauko teyari to accept her flaws and to live with them for the rest of yo'life then you made the worst decision.

Mimi sio mtu wa dini kiiivyo, but if kira kitu nilichoandika juu is not a reason why you got married then just divorce her and endelea na maisha yako. DUNIANI UNAISHI MARA MMOJA TUU, why uharibu that with s'one who you are not ready to spend yo'rest of life with. Divorce her and move onto a next step of rebuilding things and use this as a lesson that you won't repeat again ever.
 
Ongeza Mke mwengine WA pili .km bado ongeza WA tatu.km bado fikisha WA nne
 
Ndoa ni pingu za maisha, hakuna kuachana, tafuta sulhu
 
fukuza mkuu kama ananizingua piga atasepa tuu au mwombe tigo au ujifanye umekosea ataondoka mwenyeww
 
Mtoa mada usidanganyike eti "piga chini" hapana vumilia kidogo omba Mungu akupe uvumilivu.
Nimejifunza hamna mahusiano/ndoa isiyo na mikwaruzano, kupishana, wakati mwingine kila mmoja kuanza kuanzisha mahusiano mengine! lakini mmoja wenu au wote akiwa na subira hayo mambo yatakaa sawa, mtakuja kuelewana na pengine kuna kitu mlikuwa hamjafahamiana vizuri. Hiyo migongano ndo inafanya muwekane sawa na baadae muombane msamaha muwe na ndoa yenye furaha.

Hebu tulia, sali sana, usiwe mtu wakulipiza visasi, uwe unamkumbusha mkeo namna unavyoumizwa na matendo yake mara kwa mara, badilika wewe uwe mwenzi bora baadae naye atajiona mjinga mtaendelea vizuri tu.

Sipendi kauli za kuachana shetani anakaribia kushinda, hamnaga mtu mkamilifu utayempata lazima kuna jambo utapaswa kuvumilia.
MUNGU AKUPE WEPESI NA AMPE MKEO MOYO WAKUJUTIA MAKOSA NA KUTUBU, familia yenu itajazwa baraka milele Amina[emoji120]
 
Hebu funguka kidogo uko jelani kivipi, yepi yanakusibu?
 
Kila siku watu tunasema .... kaeni mbali na ndoa..hasa wanaume...kaeni mbali na ndoa,its a loose - loose deal,.we husomagi hizi post inaelekea....ha ha ha ha imekula kwako man..
 
kila jambo lina mwanzo na mwisho mkuu,,..ukisema umwache mkuu muda huu utakae mpata utaona hali ile ile,,..kaa na mkeo muweke mambo sawa,,..be honest kwa mkeo
 
My dear pole sana. Naamini ulipata wakati mzuri wa kusoma na kumchunguza mchumba wako kabla ya kumfanya mke.
Na kama ndoa unaiona jela ina elekea hukufanya uchunguzi wa kutosha, inawezekana kabisa tamaa za kimwili ama factors nyingine ndizo zilizokuvutia kwake kitu ambacho si sawa.
Kabla ya kuingia kwenye ndoa nadhani kuna ulazima wa kujipima wewe pamoja na mwenzako katika mazuri na mapungufu ndio muamue kua mtawezana.
Tatizo letu vijana wengi wakati wa courtship tunakutana Mlimani city, mara KFC au Capetown fish market na kama huna gari lazima kwenye date zenu zote utamkodia taxi au bajaji. Kwa kifupi hatuonyeshi uhalisia wa maisha yetu. Kuna rafiki yangu alishawahi kuniambia wakati wa uchumba hakikisha unapitia phases tofauti za maisha na mpenzi wako ujue ana react vipi...asipo kua na hela, akipata tatizo la kifamilia, kikazi na mengine mengi ili uone. Lakini kingine cha muhimu ni uvumilivu, unatakiwa ujue hakuna alie kamilika na pale anapokosea mrekebishe na muendelee.
Geuza jela yako kua PARADISE......Rekebishaneni, vumilianeni, Heshimianeni na kikubwa Pendaneni. Nothing conquers LOVE!!
Mwisho kabisa there are three sides to a story...Your side, Her side and the TRUTH. Inawezekana na yeye huko alipo analalamika pia.
Natamani msolve mambo yenu na muishi kwa amani!!!
 
Mkuu Kwani Cheti Chako Cha Ndoa Kina Expire Date? Miaka Miwili 2 Unakata Tamaa... Ndoa Ni Tofauti Sana Na Mitihan Mingine, Unapewa Cheti Then Ndiyo Unafanya Mtihan, Uko Radhi Kufeli Kwenye Huu Mtihan? Usikubal Pambana... Muombe Mungu Atakusaidia! Kumbuka " A Happy Man Marries A Woman He Loves, But A Happier Man Loves A Woman He Marries "
 
najipa moyo sana kuwa mimi ndoa yangu itakuja kunipa furaha muda wote,lakini hz kesi za ndoa kila sku znanipa maswali,isje kuwa najidanganya.
 
Unapoa amua kuoa unatakiwa uwe umejipanga haswa..wanavosema ndo inahitaji uvumilivu ndo maana yake hiyo...kwo mkuu vumilia maana hiyo nayo ajali
 
Mimi ni kijana umri 32 Nina miaka 2 ktk ndoa sitamani tena maana Niko jela ya ndoa, je nifanyeje kutoka?
Ulioa kwasababu ulikuwa tayari kuoa.

Au ulioa ukiamini umri umeenda?

Au ulioa ili uitwe aliyeoa?

Tafakari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom