Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
Kama alikufa kwa ajali je
Picha tafadhali!!!!!
Nina uhakika humaanishi watu wote msibani hulala chini na kucha vitabda visitumike? Ninachojua ni kuwa kwa vile msibani wanakuja watu wengi na ile sio nyumba ya wageni ni obvious vitabda havitawatosha na hivyo lazima watu walale chini. Nothing special.
Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
Hapo labda mnachoweza kuzuia kwa njia hiyo ni ugonjwa wa kuku lakini wa binadamu acheni mtamaliza kutupa masufuria tu ndg zangu.
Sasa apo ushilikina upo wapi??
MANDINGO...Id yako inanifanya nimkumbuke yule mcheza sinemaWazaramo ni mafundi sana wa yale mambo yetu! Duuh shemeji akafaudu!
Vp kama marehemu hakuugua??Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.