Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,998
Sasa ataitoa wapi
Msibani.
Sasa ataitoa wapi
Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
mila nyingi za kibantu zinafanana, mimi nimetoka arusha na tunafanya hivyo ila baada ya kufagia uchafu tunauweka chini ya mgomba na baadae ndizi ikikomaa tunatengeneza pombe

Sisi kwa mila zetu tukifiwa hatuogi wiki nzima, u can imagine the smell now...
Huyu atakuwa Nshomile kama sijakosea..

Du. Mara nyingi makochi huondolewa mahali pake ili kutoa nafasi ya watu wanaokaa hasa akina mama. katika kuondoa makochi mara nyingi cushion hotolewa na wengine huzitumia chini kupunguza maumivu ya kukaa au kulala kwenye sakafu. Kwani kuna kitu cha ajabu hapo?Na makochi kutolewa sponchi ili wakalie chaga nini tafsiri yke?
Naona uhaba wa vitanda sababu msiba sio kitu cha kufanya maandalizi kama sherehe utaandaa vinywaji au chakula ni kitu cha kushitukiza tu
Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
!!!!!Habari wana JF.
Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.
Isee!!!Ayo yote yapo kwani ujawai ona familia moja kila anae kufa anakufa kwa ajali kwa mila na destuli zetu hufanya ivyo ili kuondoa hilo pepo (mkosi, nuksi)

!!!!