GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 160
- Thread starter
- #21
Huyo kaka hana penzi na wewe kwani kama anakupenda katika shida na raha basi matajipanga na kujijenga mkiwa wote, wengine tuliambiwa hivyo na baadaye ndege pruchuuuuu!
aiseee, wewe yani uko sawa kabisaaa!
yani mi mwenyewe nilikua na mawazo hayo hayo, kwamba maisha tuanze sote, si anafanya kazi?, then tukae tupange nini cha kufanya, sio lazima mpaka ndoa, naweza kupanga na tukaanza maisha hata kama na yeye ana kwake, ila mawazo tu yatatosha kuwa pamoja