Nini maana ya kujipanga na kujijenga?

Ni vizuri kujifariji, though.................., 'kunguru hageuki njiwa'

Jitahidi mwana. Jipange, Jijenge kama mwandani to be alivyosema.

Good luck.

utakua umetumwa tu wewe, mamluki wengi.
 
sasa bibie siku moja nilimwambia ninampango wa kutoka homu nianze kujitegemea, akaniambia nina haraka ya nini wakati bado natakiwa kujipanga na kujijenga kwanza?. sasa nikawa najiuliza hivi vitu maana yake nini haswa?
nikaona isiwe tabu wacha nilipeleke hili suala JF watanisaidia kunielimisha.
naombeni mawazo yenu kujijenga na kujipanga shemeji/ wifi yenu alikua anamaanisha nini. msaada plz

nawasilisha.

Mie naomba kukuuliza kwanza:
1. hapo kwa wazazi unajitegemea?
2. umeishanunua vitu vyako mfano fenicha nk?
3. wazazi wanakutegemea wewe au wewe ndo unawategemea?
Halafu kutokana na hayo majibu ninaweza kukupa hints alimaanisha nini:
1. kwamba kwenu mnajiweza na wewe pia unawategemea wazazi hivyo kutoka hapo ukiwa huna chochote itakuwa ngumu kwako kununua vitu hivyo peke yako, especially kama umezoea maisha ya gharama?
Anawaza kama hapo unakula kulala + mshahara na bado hujanunua chochote utaweza kununua ukiwa nje? hivyo muonyeshe uwezo wako kuwa sina vitu lakini nimesave hela kiasi ya kuanzia,
2. Upande wa pili ni kama familia inakutegemea wewe, naye anakuonea huruma haraka haraka unahama ukiwa hujawaandaa wao kuanza kujitegemea itakuwaje? umewafungulia biashara, umesomesha wadogo zako? anahofu extended family hii itahama na wewe au ndo unaibwaga?
kama unamwamini utamjibu na kumuuliza anamaanisha nini nae atakuelewesha na pengine kuchangia mawazo au hata hela.
 
what car?kama demu wako anataka uwe na gari kwanza ndugu chaku nakosa imani nawe,nyie ndo mnao umizwa kirahisi.
 
magari nini bwana?kipi bora? kuwa na kwako ili uwe huru kwa yote au kuendelea kupanga huku gari kilipaki ktk ofisi za ccm wakulindie plus garama za mafuta plus spea plus accident ndogondogo plus faini za matrafiki plus na majambazi kukunyemela kukuibia? mimi bwana kwanza nyumba ya uhakika ya kutosha mimi namke wangu mengine yatafuata baadae!
 
Kujipanga na kujijenga!
Utajipanga ukiwa umetoka kwenye huo mwamvuli wa wazazi na kuwa na akili ya kujijenga kwa jinsi unavyokabiliana na maisha. Huyo dada yangu nilitegemea akutie moyo wa wewe kuhama kwa wazazi na kupanga na hapo utakuwa na uchungu kweli wa maisha, si lazima ubebe kila ushauri wake .... just move out hata kama una godoro tu na usikie atasemaje.
Sometimes wanawake tunapenda kuona mwanaume wako ameshachukua maamuzi fulani na kuyafanya na sio kukuuliza kila jambo.
 
Mie naomba kukuuliza kwanza:
1. hapo kwa wazazi unajitegemea?
2. umeishanunua vitu vyako mfano fenicha nk?
3. wazazi wanakutegemea wewe au wewe ndo unawategemea?
.

-wazazi ni wafanyakazi wote 2, so hawanitegemei kwa lolote
-sijanunua, ila nina account benk maalam kwa kuanzia life, mpaka sasa nina vijisenti vya kununua vitu vyote vya ndani, si nilishasema badala ya kununua kitanda basi pesa ya kitanda nimedumbukiza benki.
-wazazi hawanitegemei wala mie siwategemei zaidi ya kulala pale na kula mara moja kwa siku!.

naomba mawazo yako sasa!
 
-wazazi ni wafanyakazi wote 2, so hawanitegemei kwa lolote
-sijanunua, ila nina account benk maalam kwa kuanzia life, mpaka sasa nina vijisenti vya kununua vitu vyote vya ndani, si nilishasema badala ya kununua kitanda basi pesa ya kitanda nimedumbukiza benki.
-wazazi hawanitegemei wala mie siwategemei zaidi ya kulala pale na kula mara moja kwa siku!.

naomba mawazo yako sasa!

Hicho ndicho ulitakiwa kumjibu huyo mwenzio macho kwa macho na uone atasema nini? mie nashangaa ulipoogopa kumwuliza anamaanisha nini? Kama anamaanisha vitu ambavyo unaona vipo nje ya uwezo wako kwa muda huu mwambie utanunua ukiwa huko huko hivyo wasiwasi wake utaisha, nadhani naye ilikuwa ni hofu kuwa umesave, je uko tayari kuanza kujitegemea?, kujipanga maana yake ni kujiandaa kukabiliana na hali fulani. Hivyo muondoe hofu kuwa unaweza.
 
Ni vizuri kujifariji, though.................., 'kunguru hageuki njiwa'

Jitahidi mwana. Jipange, Jijenge kama mwandani to be alivyosema.

Good luck.

Sawa kabisa Lizy
Hata kama si mke, ni jambola maana kabisa kumsikiliza.
Ili mradi mna mpango wa kuoana hapo baadae.
Huyo kimsingi ni mkemzuri sana,.yaani ukimshiti watu kibao kama akina Sipo NA Fidel180(senior bachelors) wanammendea fasta.
 
sasa bibie siku moja nilimwambia ninampango wa kutoka homu nianze kujitegemea, akaniambia nina haraka ya nini wakati bado natakiwa kujipanga na kujijenga kwanza?. sasa nikawa najiuliza hivi vitu maana yake nini haswa?

demu anakushtua ukihama home, atakuwa anakuja kwako day in day out na wewe utapiga mzigo day in day out umejipanga na kujenga nguvu hizo.
 
kwa upande wangu,mwanamke mwelevu na mwenye hekima ,angefanya juu chini ,mwanaume ahame na atafute kwake ,kuna mengi hapa,either anaogopa -hujamwambia kama utaweza kumudu maisha kununua furniture etc.. or anaona utakuwa huru sasa kufanya lolote,sasa hapa tunausemea moyo wa binti huyo..
Ila kwa mtazamo wangu binti yoyote angependa kijana mwenye mawazo kama yako ya kujitegemea na sio kukaa kwa wazazi.
 
wacha hiyo maneno wewe, kwa hiyo wataka kuja kupatia raha kwangu kirahisi rahisi?. kama yupo tayari kuwa na mie kwa shida na raha ndio maana nataka nianze nae from scratch, sio anaingia ndani kuja kupata raha, amaa
atapata tabu sana..
 
Back
Top Bottom