nini maana ya kiherehere,mbea, mnafiki na mzadiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini maana ya kiherehere,mbea, mnafiki na mzadiki?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by ummu kulthum, May 4, 2012.

 1. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wadau hebu nijuzeni kwa maana nipo gizani
   
 2. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  [h=2]kiherehere - Ni kuwa na maamuzi ya haraka sana bila sababu ya msingi. Kufanya jambo wa kwanza hata kama haukutakuwa kulifanya wewe.
  mbea - Ni mtu anayeongea ukweli mahali ambapo hapahusiki kwa namna inayoweza leta madhara kwa wahusika. Mfano. Umemkuta mke wa rafikiyo kapata ajali mbaya moshi, ukamsaidia na kumpigia simu mumewe. Kumbe mke aliaga kenda Iringa. Utakuwa umevunja ndoa kwa nia yako nzuri {umbea wako}.
  mnafiki - Kutoa taarifa kwa mtu ili akupende tu. Unaweza kuwahusisha watu wawili katika taarifa ambazo zitaishia kugombanisha. Nia mbaya ikiongezeka huitwa Majungu hususani kama yatahusisha wewe mtoa taarifa kupenda cheo.
  mzadiki - Hili sijui maana yake vizuri[/h]
   
 3. p

  pondamali Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kiherehere- muwasho wa jambo lisilo kuhusu au kabla ya muda wake kufika
  Mbea- ni ile tabia ya mtu kuchukua maneno ya huku kupeleka kule kwa kuongezea tafsiri yake mwenyewe
  mnafiki- ni tabia ya mtu kuishi au kusema maneno ambayo ni tofauti na muonekano wake. Na kusimamia hicho anachokisema kama vile ni cha ukweli. mf. Kasisi anapohubiri watu waache zinaa, halafu yeye unamkuta guest house?
  Mzandiki ni mtu muongo aliyekubuhu
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  asanteni kwa majibu mazuri.dawa ya hawa watu ni nini kwa maana wananikera?
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibi wa Kamusi ya TUKI
  .
  ummu kulthum kibananhukhu pondamali
  .

  kiherehere
  nm [ki-] 1 anxiety, bustle, trepidation.
  2 palpitation.

  mmbea nm wa- [a-/wa-] gossip, tell-tale, scandalmonger.

  mnafiki* nm wa- [a-/wa-] hypocrite, impostor, pretender

  mzandiki nm wa- [a-/wa-] hypocrite; liar.


  .
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibi wa Kamusi ya TUKI
  .
  ummu kulthum kibananhukhu pondamali
  .

  kiherehere
  nm [ki-] 1 anxiety, bustle, trepidation.
  2 palpitation.

  mmbea nm wa- [a-/wa-] gossip, tell-tale, scandalmonger.

  mnafiki* nm wa- [a-/wa-] hypocrite, impostor, pretender

  mzandiki nm wa- [a-/wa-] hypocrite; liar.

  heshima kwako mkubwa majibu nimeyapata.
   
Loading...