inspector laddy JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 761 Reaction score 258 Jun 1, 2014 #81 Hehee!kila mtu kantangaze kantangaZee,utangazwe kwa kipi cha ajabu ulichokua nacho?binafsi siupendi huo msemo
Hehee!kila mtu kantangaze kantangaZee,utangazwe kwa kipi cha ajabu ulichokua nacho?binafsi siupendi huo msemo
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,792 Jun 1, 2014 #82 kisukari said: kantangaze ni kumfagilia mtu,kwa kitu chochote kile.kama amependeza unammwambia umependeza,unamjibu kantangazeee Click to expand... Hapa ndo tutajuana vizuri mabinti wa uswazi lazima hili neno mtakuwa mnalifahamu vizuri
kisukari said: kantangaze ni kumfagilia mtu,kwa kitu chochote kile.kama amependeza unammwambia umependeza,unamjibu kantangazeee Click to expand... Hapa ndo tutajuana vizuri mabinti wa uswazi lazima hili neno mtakuwa mnalifahamu vizuri