Nini maana ya huu msemo "kuchamba"

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,641
11,956
Hivi huu msemo maana yake halisi ni ipi hasa.

Utawasikia wadada wakisema oh nimemchamba.

Mantiki yake hasa ni ipi eti?

Mnaposema kumchamba mtu ndo kumfanyaje hasa??

Kwa kweli huwa nashindwa kabisa kupata majibu kabisa.

Hebu nisaidieni hapa wandugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom