Nini maana ya honours degree?

Nini maana ya honours degree?

Ni degree ya heshima ila naamini ina vigezo vingi kwani kuna rafiki zangu wameipata ila wamefika 3.5 GPA na kinachonipa ukakasi ni yupo ambae ufaulu wake ilipanda ukashuka alafu ukapanda tena.
Pia yupo mwingine alipata sup ila ufaulu ulienda ukipanda.
 
hvo vgezo ndo navihitaj coz mwingine gpa inapanda ila anacarry na sup pia
 
Hizo ni shahada za heshima tu, ndomaana siku hizi kuna utitiri wa ma-doctors of PhD uchwara.
 
Ili upate unahitaji vitu viwili 1)ufaulu wako usiwe wa kushuka na kupanda lakini 2) usipate sup +carry over
 
Hons degree ni degree Ya heshima.ambaye
anapewa Mwanafunzi ambaye hana supplementary
wala carry over.

mi GPA yangu sio kali ila sijawahi
kusupp,je ninastahili kuwa na
honour?
 
Back
Top Bottom