Ilinibidi kutazama cheti vyema. Nilikuwa sijawahi ku notice kuna honours, I am thankful kumaliza with cheti kizuri. Haikunipa shida katika kuendelea na postgraduate studies.
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu:
Kwa ambao mnasoma vyuoni hivi sasa, hizi concepts za GPA nzuri, Honours etc sio vitu ambavyo ni vya kuviona kawaida na kutojitahidi kupata. Inaweza kukusaidia hapo baadae na ukishamwaga maji hayazoleki hivyo ni vyema kutumia vyema nafasi hii kuepuka regrets in the future.
Kwa ambao wana malengo ya kuendelea na masomo postgraduates mjitahidi ili hapo baadae msipate taabu hasa kuomba nafasi za masomo nje ya nchi au scholarship opportunities.
Ni ushauri wangu. Ila Nimejifunza kitu kupitia hii thread.