DJkus
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 354
- 470
- Thread starter
- #61
Anajitoa upepo, sio kama hajui kwamba kuna masuka wa vibati!!!Mzee baba hujui tu. Basi zinachapa moto ule ule.
Aliyefungiwa leseni na Kangi Lugola wa Dar Lux unajua alipigwa tochi spidi ngapi?
Kiufupi ni kuwa hakuna mfumo unaweza shindana na pesa
Sent using Jamii Forums mobile app