Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,261
Kabisa mkuuHatari sana, maana mtu natafuta usingizi siupati kero mwanzo mwisho
Kabisa mkuuHatari sana, maana mtu natafuta usingizi siupati kero mwanzo mwisho
Salama mkuu.Habari za Muda huu Mkuu,
Ulijaribu kufikiria ni vipi endapo yakatokea mazingira ambayo yanamhitaji dereva kukimbia speed zaidi ya iliyowekwa kwenye SG? Labda tuchukulie watu wenye nia ovu wanalikimbiza Basi lililofungwa kifaa hiko au labda kukawa kwa bahati mbaya mama mjamzito ambaye anahitaji msaada wa haraka na ni eneo ambalo wapo ni mbali na Huduma za afya au labfa hata Mgonjwa akawa anahitaji msaada wa haraka.
wazee wa kubet...chombo kinakula mpaka 1m hahahahhaaaaKwa mtazamo wangu, hii naiona ni biashara kama biashara yeyote.
Sababu kubwa ya mimi kuita biashara in pale wanapo subiria chuma ivuke kiwango kinacho kubalika ili wapate faini.
Sauti ilitosha mkuuIkiwa hawatasikia nakuongezea ni hii[emoji350][emoji350][emoji350]
ahaha jana umekutana na king'ora nnMateso tu! mpaka sasa kichwa kinaniuma
Hakuna basi inayoenda speed 100 labda hiyo haina VTS.Ni mbinu za kula pesa, kuna vifaa vimefungwa Ubena na Bwawani njia ya Dar Morogoro, havijulikani vinapima nini, japo wanasema vinadhibiti matumizi mabaya ya barabara lakini siku hizi mabasi yanapita na speed 100
sijaelewa hii kituMkuu hii ni over TRA, 650,500 kwa kila bus + 30,000 kila mwezi!!! Kweli huu sio uonevu??
Hakuna basi inayoenda speed 100 labda hiyo haina VTS.
Au dereva ameshaanza kulipita gari la mbele yake na inabidi akimbie 100+ kwa sekunde chache ili amalize overtake salama....Habari za Muda huu Mkuu,
Ulijaribu kufikiria ni vipi endapo yakatokea mazingira ambayo yanamhitaji dereva kukimbia speed zaidi ya iliyowekwa kwenye SG? Labda tuchukulie watu wenye nia ovu wanalikimbiza Basi lililofungwa kifaa hiko au labda kukawa kwa bahati mbaya mama mjamzito ambaye anahitaji msaada wa haraka na ni eneo ambalo wapo ni mbali na Huduma za afya au labfa hata Mgonjwa akawa anahitaji msaada wa haraka.
Inaitwa digihud.Weka Speed App kwenye simu yako kisha panda BM za Arusha na Moshi au baadhi ya Abood Bus za Moro Dar
Yaani kuna muda natamani akili zetu zifunguke kama za wakenya tufanye maamuzi sawa sawa...yaani wanatafuta rushwa toka TRA wakati wao ndio ma papa kwa rushwa na wazi kiasi hichi!! Shame on themBiashara ya wakubwa ile.
Zile device zauzwa dollar 80 ila wao wanawauzia 650K
Uhalisia huo!sijaelewa hii kitu