Habari wapendwa,
Nini lengo la HR anapokuuliza "What is your salary expectations ? " ilihari anajua fika kwamba kampuni yake ina salary scale ya kila position
Nimeshawahi kuwa kwenye jopo la Interviewers ....Hilo ni swali la kawaida tu...ila lina tafsiri nyingi . Moja, ni kutaka kufahamu kama wewe unaweza kukubali mshahara wa kampuni hiyo.