Uhusiano wa Mungu na wazazi wangu unahusiana vipi kwenye swala la maamuzi juu ya maisha yangu?Fuata msingi uliojengewa na wazazi wako, labda Kama kwa akili zako timamu na kwa msaada wa kimungu utajua fika kuwa hawakuwa kwenye njia halisi vinginevyo kwenda kinyume na waliokuzaa na Mungu anakukataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuliweka swali sawa ili iwe kama mwendelezo wa kujifunza vitu tofautiMaswali kama haya kwa baadhi ya watu ni kufuru!
Mkuu nijuavyo mpaka sasa hatujui lengo ila tunaishi tunazaana,tunakula n.k
Ktk peo zetu tunapembua mema na mabaya kutokana na vile welewa wetu ulivyo!.. binafsi naamini sheria mama za mazingira yetu ndo msingi unaotakiwa kufatwa mengine nyongeza tu!.
Navyofikiria ni kuwa ulimwengu ni mpana Sana na kuna laws nyingi hatujazijua! Siku tukifanikiwa kuyajua nyuma ya haya mengi nafikiri tutajua kinagaubaga..
Naomba nimalizie na kauli Tata!
"Huenda ukawa umeuliza swali ambalo si sahihi"
Sijui kama nitaeleweka kwa hiyo kauli..[emoji28]
Hiyo kauli nimeandika kwa maana hii,Mkuu unaweza kuliweka swali sawa ili iwe kama mwendelezo wa kujifunza vitu tofauti
Kwani wazazi wako walishakuambia kusudio la maisha yao hapa duniani?Fuata msingi uliojengewa na wazazi wako, labda Kama kwa akili zako timamu na kwa msaada wa kimungu utajua fika kuwa hawakuwa kwenye njia halisi vinginevyo kwenda kinyume na waliokuzaa na Mungu anakukataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia kila kitu kinachokuzunguka kina sababu ya kuwepo, kasoro wewe tuu ndio hujui kusudio la uwepo wako. Kama huoni umuhimu wa kuchunguza basi wewe ni tatizo.
Mkuu umesha kuwa jirani na wakati mtua anayekata roho, majuto anayoyapata huwezi pima kama anataka kata rufaa, yaani achiwe hata sekunde chache atekeleze kitu fulani kabla hajakata roho. Kila kitu kina kusudi la kuwepo just look arround you, excepy you.Hakuna kusudi lolote lakuja duniani, hakuna anaye tuongoza, wanadamu wenyewe tunajiwekea malengo, sawa na wanyama wengine, au wadudu. Wanajiwekea maamuzi yao katika maisha, kutafuta furaha na chakula ilitu kuishi sikuziende adi mda wakufa utakapofika.
Ndio maana wanadamu tumejiwekea dini, ili kutupa matumaini na muongozo wa maisha, tumejitengenezea miungu fake nakuiabudu. Ni kwa sabab tunaitaj kitu kikubwa kutuzid, na tunaitaj kuongozwa.
Hakuna cha Mungu wala Mbinguni, hakuna Mungu mjinga kiasi icho wakuacha viumbe wake wanakufa bila hatia, eti kisa kula tunda. Kama Kweli Mungu yupo, nakweli katu adhibu kutupa kifo na magonjwa eti kisa wazee wetu Adam na Eva wamekula tunda, basi uyo Mungu mpumbavu kuliko kiumbe yoyote yule. Kwa maana ata wanyama na wadudu wanajali watoto zao, sasa Mungu hajali viumbe wake aliowaumba.
So iyo ina prove Mungu hayupo au alishakufa. Means hakuna lengo la binadamu kuja duniani. Tuishi tu kusogeza siku. Nakujitafutia our own purposes. Lakina hakuna main purpose for all.
Iko sababu ya wewe kuishi, must you are missing something.Ndiyo maana kila siku najitahd nijipatie maisha mazuri vinginevyo nitaenda tu kufa bila chochote,haya maisha we yachunguze vizri utabaini cha muhimu ni kula na kuburudika,weka lengo lolote pigania litimie basi mengine ujitahd usivunje sheria za nchi ili mzunguko wa furaha uendelee hizo zingine ni stori za kutishana au kufarijiana,
Ukifikiria tena vzr hmna shida ya stress labda ujitakie hata lisipotimia lengo kwan nini kingekukuta? Hata usipofurahi? Yaan we ishi mpaka utapoona pametosha,ila mi nimeona nijitaftie hela(means of exchange) ilo nile burudani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea tuu kula bata, hujiulizi why huwa unajuta?Mkuu lengo kuu la kuishi duniani ni kula BATA tu.Mengine yote yanayosemwa ni kelele tu.Hakikisha unajitahidi kadri uwezavyo kul Bata sana ili ukifa uwe umeifaidi Dunia.
Taking things for granted sio poa, we unazani kwa nini una akiri ya kupambanua mambo, use it.Maswali kama haya kwa baadhi ya watu ni kufuru!
Mkuu nijuavyo mpaka sasa hatujui lengo ila tunaishi tunazaana,tunakula n.k
Ktk peo zetu tunapembua mema na mabaya kutokana na vile welewa wetu ulivyo!.. binafsi naamini sheria mama za mazingira yetu ndo msingi unaotakiwa kufatwa mengine nyongeza tu!.
Navyofikiria ni kuwa ulimwengu ni mpana Sana na kuna laws nyingi hatujazijua! Siku tukifanikiwa kuyajua nyuma ya haya mengi nafikiri tutajua kinagaubaga..
Naomba nimalizie na kauli Tata!
"Huenda ukawa umeuliza swali ambalo si sahihi"
Sijui kama nitaeleweka kwa hiyo kauli..[emoji28]
Unatofauti gani na kikombe ulichokitumia kunywea chai leo asubuhi, do not just put yourself down and low like that?, jiulize kwani nini huliziki hata ufanikiwapo malengo yako uliyojipangania, you still fill like there is something more which you need to do to get satisfaction.binafi naishi bila hofu wala imani japo kuna vitu navitegemea ili maisha yaende mbele zaidi vitu hivyo ni pesa na taasisi inayoniwezesha kupata kipato kinachonifanya niishi bila hofu kabisa
lengo la mtu kuishi huenda likawepo lakini sio kwa usahihi kama tunavyojua
kuhusu mungu na shetani hapo sitii neno japo uchawi na miujiza nimewahi kufanya na vitu vingine sio vya kibinadamu kabisa lakini kwakua nilifanya basi ni vya kawaida kwangu
kikubwa duniani hapa ni kuishi tu hakuna cha ziada