Nini kitakuuma ukifumania??

Nini kitakuuma ukifumania??

The way she rub my chest,
The way she break her nails on my back,
The way she scream and say those dirty words,

Then found out am sharing!!? damn! i will cut her clit and chew it.
 
The way she rub my chest,
The way she break her nails on my back,
The way she scream and say those dirty words,

Then found out am sharing!!? damn! i will cut her clit and chew it.
That's my bro!
 
Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.

Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.

Case ya pili ni mimi kufumania.

Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.

Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.

Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Atakufa kwa mawazo.
 
Nikifumania nitawaza tu jinsi ninavo mla kistaarabu sweetie wangu kumbe kuna mtu anamkunja kama kambale halafu inafika wakati demu bila kulazimishwa anakamata dushe ya jamaa anaimba nayo wee halafu anaichomeka kunako!!! Aaaarghhh, hadi na dushe linasimama mamamaee!
Na Kuta Watu Wanajua Kukunja Bwana! Kuna Jamaa Hapa Mtaani Alienda Kufumania, Alimsahau Mkewe, Alikuta Kakunjwa Hadi Akajua ni Mlemavu, Kumbe Ndio Mkewe
 
Nikifumania nitawaza tu jinsi ninavo mla kistaarabu sweetie wangu kumbe kuna mtu anamkunja kama kambale halafu inafika wakati demu bila kulazimishwa anakamata dushe ya jamaa anaimba nayo wee halafu anaichomeka kunako!!! Aaaarghhh, hadi na dushe linasimama mamamaee!
Nimechekaaaaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom