Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
- Thread starter
- #21
Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.
Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.
Case ya pili ni mimi kufumania.
Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.
Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.
Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
sawa mkuu
kwangu mimi naona uko extremely hurt,kumfanyia vituko mwenza wako ni moja ya coping mechanism
na mpenzi wako nae anafeel guilty,ndio maana anaona ana 'deserve' yote unayomfanyia....
forgive yourself and move on
ningependa kuona uhusiano wenu unakufa,lol
its not healthy kukaa kwenye abusive relationship,
certainly its not healthy kukaa na wasiwasi kuwa mwenzako anacheat hivyo kupima VVU kila mara,
utakuja kupata magonjwa ya moyo ukiendelea hivi,
all the best honey