Nini kitakuuma ukifumania??

Nini kitakuuma ukifumania??

Men seeks women who are physically attractive as this is a sign of good 'genes'

Women seeks men who are dominant and status related characteristics since they want protection/security for themselves and the offsprings they produce.

when it comes to infidelity,wanawake hunywea Zaidi wakigundua mchepuko wa mumewe uko na uzuri/sexy than themselves....😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

na wanaume hunywea wakigundua kuwa mwanaume anayechepuka na mkewe ana high status/wealthy.....😀😀😀😀😀😀😀

ninalileta kwenu kujua kama hili ni kweli,,,,,,,,

nini kitakuuma ukigundua mke/mume anachepuka???kipi kitakufanya unywee??lol
nikipiga chabo nikiona anamsurubisha kwa fimbo za hatari na mama akiwa anashukuru kuwa ni tamu sana
 
My heart is as cold as ice when it comes to this matter.

Nikijua tu hapohapo kila mtu anaendeleq na maidha yake
 
Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.

Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.

Case ya pili ni mimi kufumania.

Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.

Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.

Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Dah!.....nilazima ajute kukufaham.
 
Rebeca83 yale mapenzi ya namna hiyo hayatokei maranyingi kwenye mioyo ya watu. Nadhani ni once au ikizidi sana twice halafu moyo unakufa ganzi na wapenzi wote watakaokuja baadae utakua na some reservations

nimekuelewa sana mkuu
 
Case ya pili ni mimi kufumania.

.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.

Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Haina haja ya kumtesa mtoto wa watu kiasi hiki, Muache aende zake
 
Unafumania mkeo then unaendelea kuishi naye wa nini wakati mwanaume at 40s ndo anapendwa na kila mwanamke anzia watoto wa shule mpaka shuga mamy
 
Daah me haijawahi tokea semaa hata ikitokea me sinaa wivuu kabisaa... Ntasepaa nimueache
 
Ntaumia mno kwa vyote aisee Maana G wangu kakamilika vyote,,ntamchukua tu narudi nae home
Usijari sitaumiza moyo wako, I swear to you and all, that I will always be yours and no one will take me away from you Mama Sabrina!!
 
Kilichonipata mi ndio hadi leo wivu umeniishia yaani wivu sinaga tena!
Kuna mchuchu nilimpedaga sana nadhani ndio mwanamke alie take my breath away!nilikuwa bado chalii flani ndo naanza life.pale kwao alikuwa anaishi na mamaake tu ambae alikuwa anauza maandazi.
Yule dem tulikuwa na uhusiano kama miaka miwili hadi tukazoeana sana hata kwao naenda mama ake pia akawa ananipenda sana.siku ya siku alikuja jamaa mmoja pale kwao mtu mzima kiasi.basi yule dem wangu akanitambulisha mi kwa yule jamaa kwamba mi rafiki yake!baada ya jamaa kuondoka dem akaniambia huyu jamaa ananisumbua anataka kunioa!ila mi simtaki.anyway yule jamaa kila akija ananiulizia naitwa tunapiga stori mwishoe akaniambia vipi mtoto katulia huyu nataka kumuoa?nikamjibu anafaa oa tu!nilimjib nikijua dem mwenyew hamtaki hivyo jamaa anapaka rangi upepo tu.
Kuna siku dem akaniaga anasafiri kidogo kwenda msalimia babaake ambae alikuwa na bathdei.
Basi usiku huo nipo geto nikasema ngoja nimpigie yule mchumba wa dem wangu kumsabahi tu!maana tulishakuwa marafiki.
Salaleeeee
Baada ya kusalimiana ananiambia Zamaradi niko nae huku ngoja nimwite msalimiane.
Aseee dem akawa anaongea kwenye sim huku anajiuma ikabidi nikate.
Na ile mvua ilikuwa inanyesha usiku huoooo ilibidi nivue nguo nikaoge kwenye mvua tu!nilihis roho inatoka.
Kwa hiyo jamaa yule alimchukua mazima kutoka hapo au walifunga ndoa kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole aisee
 
Back
Top Bottom