Nini kirefu cha HTTP

Sorry can you provide your sources that treat the "t" in https as "transmission" and not "transport".Please note any material found on the internet have been posted by someone,so sometimes when searching for information on the web you have to know the "reliability of the source of information".
 
Ok, but you don't have to be right in everything either!

No, mkuu uko safi, nimeshakukubali. Nilikuwa tu nataka kuhakikiksha kuwa kile unachokisema una uhakika nacho. Uko safi ndugu yangu, keep it up! Unajua wakati mwingine unaweza ukakuta mtu an-argue na hayuko sahihi hadi akakufanya wewe uliye sahihi ukajiona hauko sahihi. Wewe uko safi. Thumbs up!!!
 
Askari Kanzu and gwijimimi can help you I guess. Just be kind and patient to peruse through the post!
 
Last edited by a moderator:
R u sure unajua http ni nn au unajua kiref cha http?

Nimeanza kutumia kompyuta pengine kabla wewe hujazaliwa. Kwa kukujuza tu, mimi ni mhitimu wa BNR Canada mwaka 1982, unaijuwa BNR? ka goggle kisha rudi hapa, useme BNR ni chuo aina gani.
 
Nimeanza kutumia kompyuta pengine kabla wewe hujazaliwa. Kwa kukujuza tu, mimi ni mhitimu wa BNR Canada mwaka 1982, unaijuwa BNR? ka goggle kisha rudi hapa, useme BNR ni chuo aina gani.

BNR yako haina msaada hapa zaidi ya kushinda hapa na kupost utoto kwenye jukwaa la science, kama ulikua unajua uko nondo IT ungepita kando ili walioguswa wamsaidie, alafu kuzaliwa zamani sio jambo la kujisifu mbele ya watu maana kuzaliwa mapema sio juhudi zako ni jambo lilitokea tu mama yako akapata ujauzito na akakuzaa.
 

Nawaona ni mapunguani na baada ya kusoma majibu ya humu ndiyo nimehakikisha Watanzania waliowengi wako nyuma sana na tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Mtu anatumia kompyuta, yupo kwenye mtandao, anashindwa hata kutumia search engines zilizopo kujuwa maana ya http ni nini! Badala yake watu wanaingia hapa na kuanza kubishana kitu ambacho kiko wazi kabisa.

Mnalitia aibu hili jukwaa na mnasikitisha sana.

Kwa kuwasaidia tu, nendeni mka search "internet terminology" mtafaidika na mengi zaidi ya kubishana upuuzi hapa.
 
mbona michango yenu ya kawaida sana nlitegemea mliosoma IT ndio mtamwaga ujuzi hapa lakin hakuna,kitu wote vilaza tu na elimu ya madesa,na kusomea UE
 
Nimeanza kutumia kompyuta pengine kabla wewe hujazaliwa. Kwa kukujuza tu, mimi ni mhitimu wa BNR Canada mwaka 1982, unaijuwa BNR? ka goggle kisha rudi hapa, useme BNR ni chuo aina gani.

Hata kama ungeanza kutumia kabla dunia haijaumbwa still does not answer my qn
 

Nimeshindwa kumuelewa huyu mtu kwakweli t sims anapenda ushindani/kubishana ilimradi
Besides sijui BNR yake inatusaidia nn hapa kwenye http
 
I sent say am educated
U did
So answer my question dude

Do you know what the acronym qn stands for in social media? Never ever use that acronym in social medias, those who know what it means will undoubtedly think you are sending a special message. I know you don't know what it means so I will take it as simply as you are just ignorant and will take this opportunity to educate you so you won't repeat it in future, unless you have intended to send a message.

It means Queer Nation.

Or was it intentionally?
 
duh neno HTTP ni gumzo mtandaoni watu awaelezi kilefu wanatoa maana namaelezo hakuna walimu mana...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…