Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,580
Reaction score
56,800
Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena.

Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au basi Tu watu wa ma deal hayo Wana vyanzo vingine vya mapato na wameona sio Ishu tena Ku deals na biashara za risk au soko la kimataifa limekata ringi?
 
Hakuna mafanikio yeyote,madawa bado yanaingizwa kama kawaida na mateja wamejaa mitaani.

Kilichoongezeka ni usiri mkubwa wa kufanya biashara hyo.
Siku rushwa ikikoma na madawa yatapotea Tanzania.
 
Hakuna mafanikio yeyote,madawa bado yanaingizwa kama kawaida na mateja wamejaa mitaani.

Kilichoongezeka ni usiri mkubwa wa kufanya biashara hyo.
Siku rushwa ikikoma na madawa yatapotea Tanzania.
Vp kuhusu ujangili wa Meno ya tembo
 
Back
Top Bottom