Nakuja kumuona mtoto lakini nitalala hapo.
swissme
Sio matusi chief... Kiporo noma. Saa ingine kinakuwa kishatengeneza fungus we unapasha tu bila kuona unakula mwishowe kunakuletea balaa. Kwanini usipike msosi mpya tuu?Murete;
Naona unatukana wengi. Kiporo si matapishi bro. Kila mlo una ladha yake, huwa narudi nyuma kujikumbushia tu na zaidi inakuwa tamu ka naye keshajipatia wake. Nyama ya wizi taaam sana tuu mkuu
X akirudi unamruhusu achezee maungo yako?Hapana mkuu... Mara zote X ndio anarudi. Ndio maana imebidi niulize tuu.
Hawala hana talakaHawala anataraka
Max au ma ex? Ma-X?Habari zenu wapendwa wa MMU.
Kuna swala linanitatiza kuhusu kurudiana na X. Hii ni kwa wote
Hivii, inakuwaje mtu unamuacha mpenzi wako unaoa/olewa mtu mwingine halafu eti baada ya muda unarudi kwa X kuomba game. Huwa hamjisikii hata vibaya? Nini kinawasukuma kurudi mlipoacha? Na tena mkirudi mna story za kuhuzunisha kweli. Yaani ni majuto fulu! Ni kipi kinakushinda kuanza upya uhusiano na mtu mwingine mpaka urudi kwa X?
Dah! Yaani inakuwaje mtu unatamani tena matapishi yako?