Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
sikukuu ya kihindiDiwali ni manini?
sikukuu ya kihindiDiwali ni manini?
Ni kama fire work ila hazishii
Swahiba na wewe umesikia milipuko?Dash die wa kibonde mami tupo swari kabisa
Mkuu Hebu Jaribu Kuweka Picha Ya Hizo Sauti Za Mlipuko
Ooh ok mkuu...asantesikukuu ya kihindi
Banian haoSherehe za wahindi
Nadhani wale wanao abudu ngo'mbe
Yani kuna milipuko inasikika hapa Kinondoni sio mchezo sijui ni mabomu saut inatokea huko mjin mwanzo nljua ni hizi fireworks lkn toka saa 3 na sasa iv ni saa 6 yani ni kelele mtindo mmoja na akuna taharifa yoyote tuliyopata ada mda huu
Kwa ambaye anafahami kitu gan knaendelea atujuze jama hali sio shwari
Ndo panaitwa Tanzania et,nadhan Dodoma itakuwa ipo nchi nyingineWanaume wa Dar wanaamini Dar peke yake ndiyo mjini na kwingine kote ni vijijini!