MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,159
- 6,574
..inawezekana "jamaa" wameingia kupitia baharini wanamtafuta jiweNasikia sauti za milipuko na sijui ni vitu gani.
Mwenye kujua atujuze aisee. Isije kuwa kama yale ya gongo la mboto na mbagala
..inawezekana "jamaa" wameingia kupitia baharini wanamtafuta jiweNasikia sauti za milipuko na sijui ni vitu gani.
Mwenye kujua atujuze aisee. Isije kuwa kama yale ya gongo la mboto na mbagala
Mkuu, ili jina lako pia limekaa ki Dar dar tuWanaume wa dar ata waki sikia sauti ya PAKA bc wata amshana wotee..![]()
Dah mbona wanatufanyia hivyo usingizi wote umekataPerfect answer
Eti ni Diwali...sijui ndo niniSio mlipuko, ni kitu gani
Picha zimekuathiri hadi ,unataka picha za sautiMkuu Hebu Jaribu Kuweka Picha Ya Hizo Sauti Za Mlipuko