Nini kinatokea usiku huu hapa dar?

Nini kinatokea usiku huu hapa dar?

ni Diwali sherehe ya wahindi wanalipua fashfash sema walivyo wapuuzo huwa hawatootaarifa kwa umma,kama mtu anamgonjwa ndani inakuwaje

ni uchawi juu ya uchawi
Wanga kinoma
 
Kheee
Hata kwetu tumesikia kumbe zimetoka mbali hivyo mm nilijua karibu na kwetu
 
Wakuu kwema, kuna milio mizito mizito naisikia maeneo ya kariakoo au posta kutokea hapa Ilala mwenye taarifa au aliye maeneo hayo pls tujuze nini kinaendelea
tupe taarifa zaidi mkuu
 
Wakuu kwema, kuna milio mizito mizito naisikia maeneo ya kariakoo au posta kutokea hapa Ilala mwenye taarifa au aliye maeneo hayo pls tujuze nini kinaendelea
Kishawaka mkuu wahi mpakani au jichanganye ubalozi ulio jirani yako.
 
Wakuu kwema, kuna milio mizito mizito naisikia maeneo ya kariakoo au posta kutokea hapa Ilala mwenye taarifa au aliye maeneo hayo pls tujuze nini kinaendelea
Itakuwa wadosi wapo kwenye Diwali.
 
Back
Top Bottom