Eti bwana yeye haoni wabunge kutwa wanaunga mkono, mimi nilikuwa sijawahi kupata mtoto wa kiume nimempata awamu hii, rais kafanya jitihada katuletea mpaka kupatwa kwa mwezi watu hawaoni, nimelima mbaazi nikapeleka sokon nikakuta kilo 300/-, nimeamua kuzila tu( rais anatupenda wanyonge ameshusha bei ili tule wenyewe tupate protin) eti watu hawaoni tuNenda kazini acha uvivu!
hahaha... naomba picha ya huyu mnyama.Kuna nyimbo ameimba Zaiid inaitwa wowowo
Ni ujinga tu wacha tucoment mana sote hatujui ni nini kinaendelea
Kuna stori ya guruguru (mnyama dizain ya kenge) kama munamjua hukaa zake nje akisikia vishindo mbio hukimbilia shimoni kwake na kumuuliza mkewe aliepo ndani ya shimo "ni nini kimetokea uko"
hahaha, daa noma sana yani yeye ndio alikuwa nje afu ana muuliza wa ndani nini kime tokea nje 😛😛😛...,Kuna nyimbo ameimba Zaiid inaitwa wowowo
Ni ujinga tu wacha tucoment mana sote hatujui ni nini kinaendelea
Kuna stori ya guruguru (mnyama dizain ya kenge) kama munamjua hukaa zake nje akisikia vishindo mbio hukimbilia shimoni kwake na kumuuliza mkewe aliepo ndani ya shimo "ni nini kimetokea uko"
Acha mkuu ndoo ndogo kabla ya sakata la mafuta ilikuwa 27000/= kwa sasa 33000/= sijui nchi inaelekea wapi wadau....Nimeshangaa kwa dumu la mafuta ya Kula 59--61 elfu. Nilidhani zile juhudi za enzi za sakata la mafuta zilisaidia.
Maana kabla ya sakata lile ilikuwa 51+53 elfu. Wakuu wetu mtutumikie ili mtupumzushe mnapowapumzisha hao wanasi-hasa na sisi wananzengo huku tusisahaulike.
Haya mambo mazuri yote yamemvutia sana mtatiro Stat watadhamini ligi kuu tunapesa za kutosha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Mabenki yanafilisika
*Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa huku zikiwa zimebaki siku chache ligi kuanza
*Local chanels zimeondolewa kwenye ving'amuzi
*Uzalishaji madini ya Tanzanite umeshuka
*Bei ya Saruji imepanda bei maradufu
* Kampuni za ujenzi zinafunga ofisi zao wanaondoka
*Wabunge na madiwani wanahama vyama kila kukicha
*Kila mwezi wananchi wanaenda vituoni kupiga kura
* Polisi wanapiga raia
*DC na Rc wanaweka wananchi ndani bila sababu licha ya waziri Jafo kupiga marufuku lakini wateule wa Rais bado wanatunishiana misuli
Nini kinachoendelea Tanzania?
Hii ndo Transition ya kuelekea nchi ya viwanda?
AbsoluteTanzania has collapse,Let's wait and prove
Amkani si shwari tena.Things fall apart