Makobus
Senior Member
- Jul 30, 2012
- 161
- 103
Ipo taa ya blue inayowaka kwenye dash board ambayo huanza na rangi ya njano engine inapowaka, halafu blue na kisha kuzimika kabisa.
Wakati nikinunua gari taa hii ilikuwa inachukia dakika kama tatu au nne hivi inazimika. Lakini sasa hivi inachelewa hadi dakika kama tano hadi saba hivi kuzimika. Tatizo ni nini?