Nini kinasababisha ku-bleed kidogo kidogo (spotting bleeding)?

Sharp lady

Senior Member
Feb 23, 2011
129
13
Hi wadau.

Naomba msaada tafadhali.
Kwa yeyote anayejua sababu zinazopelekea spotting bleeding hasa kazi siku za mensturation zenyewe naomba anieleze.
 
Hi wadau. Naomba msaada tafadhali.
Kwa yeyote anayejua sababu zinazopelekea spotting bleeding hasa kazi siku za mensturation zenyewe naomba anieleze.

Mimi sijakuelewa unauliza kuhusu nini? unaweza kuuliza swali lako kwa kiingereza

samahani kama nitakuwa nimekukwaza,pia waweza pata majibu kutoka kwa wale waliolewa swali lako
 
Mimi sijakuelewa unauliza kuhusu nini? unaweza kuuliza swali lako kwa kiingereza samahani kama nitakuwa nimekukwaza,pia waweza pata majibu kutoka kwa wale waliolewa swali lako
Mr kiboroto! I meant.I did not got my normal mensturation period as i used too instead i got very little bleeding. I hope you understand what i meant.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom