sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Nimefuatilia kwa karibu mwenendo wa rafiki yetu William John Malecela katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kushindwa kutoa hitimisho juu ya nini kinachomsibu kwa sasa. Nilimfahamu William kama msomi mzuri tena wa sayansi ya mambo ya bahari, kijana mwenye maono yanayolingana na ya baba yake mzee John Samwel Malecela ambaye sikuwa na shaka angefuata nyayo za uongozi kutoka kwa baba yake. Ninayoona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii siamini kama ni mambo yanayofanywa na william niliyemfahamu. William alikuwa New york city anafanya kazi nzuri sana inayompa mshahara si chini ya dola 10,000 kwa mwezi leo hii nakuja kusikia yuko hapa anazunguka tu na kupiga picha na vischana je nini hasa kimemtokea william? maoni yake mbalimbali humu JF yanaashiria ni kama mtu aliyekata tamaa je tufanyeje kumsaidia ndugu yetu huyu ili arudi kwenye hali yake ya kawaida? naongea kwa dhati na asitokee mtu hata mmoja kupinga hoja hii

Kodi inalipwa kule mtu alipo, kama uko US kodi amelipia huko huko!.Mwenye namba ya simu ya Harry Kitillya please........I can bet on my wife jamaa hajawahi kulipa PAYE tangu azaliwe
Bongolala, tafadhali!, badilika kuwa bongoamka, utakuwa umenichanganya na mtu!muulize pasco sikuhizi ndie msemaji wake!ana ndoto za kuwa waziri mkuu kama baba yake
Kodi inalipwa kule mtu alipo, kama uko US kodi amelipia huko huko!.
Pasco ni msemaji wa Lowasa na siyo msemaji wa Bongolala kama wewe William.muulize pasco sikuhizi ndie msemaji wake!ana ndoto za kuwa waziri mkuu kama baba yake
Ndugu yangu ni kweli unayosema? je william amemuibia nani?ajiunge na ritz 1 waendelee kula rasilimali zetu,haumwi kitu ni laana tu za watanzania maskini waliochoka kunyonywa.
Uboho( bone marrow) wako mzuri....kila siku JF inamjadili Kikwete je yeye si mtu?Napinga 7X770, ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe! forum hii sio mahali pa kujadili watu, do not be a simple kind of person wanaojadili watu; Willy is a big boy to know what is good for him and vice versa; usijitukuze kiasi hicho hadi kutuzuia kupuuza vapour zako.
muulize pasco sikuhizi ndie msemaji wake!ana ndoto za kuwa waziri mkuu kama baba yake
Mkuu No fear, mimi sio msemaji wa Lowasa bali mimi ni mtetezi wa haki, El analaumiwa, kubezwa na kunyooshewa kidole kwa kujitolea kubeba pakacha la Richmond!, ni wachache kati yetu ambao tunaujua ukweli halisi, ambapo EL ni mchuuzi tuu wa hilo pakacha, mwenye pakacha lake yupo!. Mimi ni mtetezi wa EL kuwa judgement juu yake iwe juu ya uwezo wake (ability na capabilities) dhidi ya mwana CCM mwingine yoyote!. Napigia debe EL ndiye awe mgombea wa CCM kwa 2015, ili rais atoke Kaskazini, na tupate ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!. Nikasisitiza kama kosa la EL ni ufisadi, CCM wote ni mafisadi!Pasco ni msemaji wa Lowasa na siyo msemaji wa Bongolala kama wewe William.
Mtu anaishi US, pesa ameipata US, kodi ilipwe Tanzania ili iweje?.Intusaidiaje sisi watanzania?