Nini kinakukera kwenye Makundi ya WhatsApp?

The Boldly

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,377
5,147
Makundi ya mitandao ya kijamii ya WhatsApp huwa yanawasilisha umoja wa watu kuwa na malengo yanayofanana.

Lakini hali inakuwa tofauti kwa sababu inaonekana kwamba wengi wanashindwa kufuata kanuni walizojiwekea. Hii inatokea pale ambapo mtu anaingiza maongezi ambayo sio muhimu kwa wakati huo au kuleta ujumbe ambao mahali alipotuma si sahihi.

Je,ni jambo gani ambalo huwa linakukwaza katika makundi ya WhatsApp na namna gani unaweza kuepukana na kero hiyo?
 
Uzi mreefu swali dogo.... Mi kinachonikera ni kupost vitu ambao sio maudhui ya group mfano unakuta labda group la engineering watu badala kutuma mambo ya kitaalam wanapost habari nyingine hasa za kisiasa
 
Basi ngoja nifanye mafekeche
 
Makundi ya mitandao ya kijamii ya WhatsApp huwa yanawasilisha umoja wa watu kuwa na malengo yanayofanana.

Lakini hali inakuwa tofauti kwa sababu inaonekana kwamba wengi wanashindwa kufuata kanuni walizojiwekea. Hii inatokea pale ambapo mtu anaingiza maongezi ambayo sio muhimu kwa wakati huo au kuleta ujumbe ambao mahali alipotuma si sahihi.

Je,ni jambo gani ambalo huwa linakukwaza katika makundi ya WhatsApp na namna gani unaweza kuepukana na kero hiyo?
Too long to read
 
Too long to read

images%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom