Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Unatutenga wazee, hata sisi tunanogewa sema bwana, kasi na nguvu zimeisha kabisa, ila hatuachi..tutaweka hata mkono/kiganja ili kubariki kipapa
Au sio, ila Kuna wazee wanapeleka motoo Balaa wewe unaonekana hilo kundi haumo.
 
Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla. Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata kama umetia sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zangu
Sasa kama hasikii raha kwanini atoe miguno?
 
Back
Top Bottom