Nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya?

Nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya?

Wako jela kutumikia adhabu sasa ukitaka waishi kama wapo vacation tena unaweza gundua wafungwa hawataki kutoka jela wakitoka leo wanarudi tena the next day. Chakura ni sehemu ya panishment .
me nakataa, huko ni kudhoofisha afya zao mwisho wa siku wakiludi mtaani wanakuwa wenye chuki za kudumu vs gereza, uko ni kukomoa na sio kufundisha..

Mfano mwanao akikosea hupaswi kumnyima chakula, we mpe msosi safi kisha mpe bakola zake au adhabu nyingne inayositahili.

Mmeo au mkeo akikosea chakula cha ndoa na hiki cha mezani vinapaswa kuhusika kama kawaid kisha zifate taratibu nyngne za kuhadhibiana. nk

CHAKULA BORA NI HAKI YA KILA MTU
 
Hivi jamani ni nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya, kuna uhusiano gani kati ya mtu makosa ya mtu na ulaji wa mtu, chakula jamani, acha wazungu waitwe wazungu
Sasa wewe unalinganisha maisha ya Afrika na ulaya?maisha ya mtaaani tu shida,ugali na bamia,hospitari wanawake wanajifungulia sakafuni,harafu unataka bajeti ya jera iwe kubwa!watu wale wali na kuku! Be serious man! Ukitaka maisha ya jera yawe Bora,boresha ya mtaani kwanza, nchi za Scandinavia,hata mtoto ambaye hajazaliwa,akiba yake ipo tayari!!sisi ambaye hajazaliwa,anadeni tayari.
 
Wako jela kutumikia adhabu sasa ukitaka waishi kama wapo vacation tena unaweza gundua wafungwa hawataki kutoka jela wakitoka leo wanarudi tena the next day. Chakura ni sehemu ya panishment .
Asilimia kubwa ya wafungwa wanafanya kazi za kuzalisha kwa hivyo chakula kizuri ni haki yao.

Ila wanatumika vibaya, mfano kuwafanyia kazi bila malipo wakuu wa magereza lakini hiyo siyo kwa kupenda.

Hiyo kupenda kurudi jela ni baadhi ya vijana ambao hawapendi kujisumbua kwa hivyo wanaona maisha ya gerezani yanawatosha. Na kule gerezani wanakuwa na power fulani hivi.

Hakuna mwenye akili zake timamu anataka kubaki jela maisha.
 
Mimi nahis ni mfumo wa maisha tu jinsi ulivyo tujenga
 
Bora chakula cha jela kuliko cha uraini , wape chakula kizuri uone watu watakavyo jazana jela
 
Magereza yanatofautiana ndugu,kuna magereza utaomba hata kifo,watu wanaliwa tigo,alafu askari hawana time,kuna wababe wanamiliki wanaume wenzao kama wake na ukibisha kichapo kinakuhusu.kila gereza lina adhabu zake.

Kwa Tanzania Hakuna ilo gereza ikijulikana kuna mtu anaingiliwa kinguvu kinyume na maumbile huyo mfungwa aliyefanya hivyo atapata tabu sana narudia atapata tabu sana.

Magereza kuna kikosi kazi kinaitwa K.M.K.GM hata mfungwa awe mtukutuku kiasi gani akiambiwa anapelekwa kwa hao jamaa analia kama mtoto.

FFU, military police (MP) hawaoni ndani kwa hao jamaa.
Ije kungundulika mfungwa amemfira mwenzake kinguvu na amepelekwa kwa K.M.K.GM maji ataita mma.
Gerezani hakuna kosa baya kama kulawiti mwenzako
 
Magereza yanatofautiana ndugu,kuna magereza utaomba hata kifo,watu wanaliwa tigo,alafu askari hawana time,kuna wababe wanamiliki wanaume wenzao kama wake na ukibisha kichapo kinakuhusu.kila gereza lina adhabu zake.
Itabidi ufungulie uzi story hii kwa marefu na mapana kiongozi wakubwa waone na kitu kifanyike maana si katika misingi na taratibu ya/za haki ya/za Binadamu.

Tafadhali fanya hivyo komredi.
 
Hivi jamani ni nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya, kuna uhusiano gani kati ya mtu makosa ya mtu na ulaji wa mtu, chakula jamani, acha wazungu waitwe wazungu
mbona wafungwa wanakuwaga na afya!!!!! pengine kuliko hata tuliopo uraiani.
mkuu?

ubaya wa chakula unakujaje?
uji usio na sukari?
maharage yasiyo na mafuta?

hebu jarbu kuweka list kidogo ya misosi wanayokula ?
 
Back
Top Bottom