Nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya?

Nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya?

Hivi jamani ni nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya, kuna uhusiano gani kati ya mtu makosa ya mtu na ulaji wa mtu, chakula jamani, acha wazungu waitwe wazungu
Ndiyo maana imeundwa tume kufuatilia huo uozo.

Tena siyo chakula peke yake, malazi na afya vipi?

Tena uozo huo ni kwa kuanzia vituo vya Polisi.

Tume hiyo ikija na majibu ya kisiasa, tuikatae kwa hamaki na Raisi pia aikatae awapige nayo usoni.
 
me nakataa, huko ni kudhoofisha afya zao mwisho wa siku wakiludi mtaani wanakuwa wenye chuki za kudumu vs gereza, uko ni kukomoa na sio kufundisha..

Mfano mwanao akikosea hupaswi kumnyima chakula, we mpe msosi safi kisha mpe bakola zake au adhabu nyingne inayositahili.

Mmeo au mkeo akikosea chakula cha ndoa na hiki cha mezani vinapaswa kuhusika kama kawaid kisha zifate taratibu nyngne za kuhadhibiana. nk

CHAKULA BORA NI HAKI YA KILA MTU
Ukishakupewa "Chakula cha ndoa" utakuwa na udole wa kuadhibu?

Chakula cha ndoa hutumika kama njia sahihi ya kusuluhisha migogoro ya wana ndoa na kuimaliza kabisa.
 
me nakataa, huko ni kudhoofisha afya zao mwisho wa siku wakiludi mtaani wanakuwa wenye chuki za kudumu vs gereza, uko ni kukomoa na sio kufundisha..
Mfano mwanao akikosea hupaswi kumnyima chakula, we mpe msosi safi kisha mpe bakola zake au adhabu nyingne inayositahili.
Mmeo au mkeo akikosea chakula cha ndoa na hiki cha mezani vinapaswa kuhusika kama kawaid kisha zifate taratibu nyngne za kuhadhibiana. nk
CHAKULA BORA NI HAKI YA
Kuna uhusiano gani kati ya adhabu na chakula, huko walikotuletea utaratibu wa jela leo hii wanajali wafungwa wao..
Mimi
 
Hivi jamani ni nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya, kuna uhusiano gani kati ya mtu makosa ya mtu na ulaji wa mtu, chakula jamani, acha wazungu waitwe wazungu
Pesa ya umma hatuwezi kumuwekea kachumbari ,pilipili ,nyama watu wakiotiwa hatiani kifungo acha waone maisha ya jela ni magumu wasipazoea,wakipazoea keso za criminals zitakua nyingi,wengine watapaona kama gheto tu unatoka unarudi
 
me nakataa, huko ni kudhoofisha afya zao mwisho wa siku wakiludi mtaani wanakuwa wenye chuki za kudumu vs gereza, uko ni kukomoa na sio kufundisha..

Mfano mwanao akikosea hupaswi kumnyima chakula, we mpe msosi safi kisha mpe bakola zake au adhabu nyingne inayositahili.

Mmeo au mkeo akikosea chakula cha ndoa na hiki cha mezani vinapaswa kuhusika kama kawaid kisha zifate taratibu nyngne za kuhadhibiana. nk

CHAKULA BORA NI HAKI YA KILA MTU
Usilinganishe adhabu ya mtoto na adhabu za wauaji kuna watu mule wamekutwa na hatia za ubakaji,uaji nk unataka kumlinganisha na mtoto kwa kosa la kutosikia ukimkanya
 
Magereza yanatofautiana ndugu,kuna magereza utaomba hata kifo,watu wanaliwa tigo,alafu askari hawana time,kuna wababe wanamiliki wanaume wenzao kama wake na ukibisha kichapo kinakuhusu.kila gereza lina adhabu zake.
Hivi wanakubaka na askari anaona kwanini usipige kelele
 
Mimi nafanya kazi Gerezani huku Marekani “ Larned Correctional facility so wengi wamesema eti huko ulaya mbona wanakula vizuri hakuna kitu kama hicho … Kwa standard ya bongo yes unaweza sema wanakula vizuri lakini Kwa standard ya huku chakura sio kizuri na wanalalamika kila siku plus msosi wanaopewa mdogo sana sababu huku hawajali kama wameshiba wao wanaangalia mahitaji ya mwili kila siku mfano calories na vinginevyo ila wafungwa wanaruhusiwa kujinunulia baadhi ya vyakura dry foods ambazo haziitaji kuwa kuwekwa kwenye fridge tena wafungwa wa bongo wanaruhusiwa kuwa yard muda wote wa mchana huku wengi wanaspend 20 ndani ya cell za mtu mmoja Au wawili . Kuna kitu inaitwa SHU ( solitary housing unit) hiyo ni jela ndani ya jela wafungwa wakorofi uwekwa humo 23 hours wamefungiwa alone hakuna binadamu unayemuona 1 ndio unatoka kufanya mazoezi kuna wafungwa uwekwa humo bila hata mtu wa kuongea nae for years hadi wanarukwa na akili vichwani
 
Attachments

  • D851151B-7B48-4183-9B04-18A720B980B2.jpeg
    D851151B-7B48-4183-9B04-18A720B980B2.jpeg
    62 KB · Views: 15
Kuna magereza zingine duniani yaani wana raha kuliko watu huru nje

Unatamani umzabe Kofi police ili ufungwe tu
Kuna jela bora 6 duniani na inayoongoza ni jela ya Norway
Kuna raha kuliko maisha yako ya kawaida
Gym, kuendesha farasi, kucheza Tennis [emoji462]
Sisi kwetu jela ni mateso na utapigwa haswa na wengine kufa

Indonesia wanawake wana salon kwa ajili ya kujiremba, full kiyoyozi na refrigerator
Utaamini tu ukitembea au kusoma Google
Google is misleading you, guys.
 
There are so many lies in google.
Wikipedia nyingi huwa siamini but Google mengi naamini na ushuhuda
Kuna sehemu duniani crime iko chini sana na Norway ni moja wapo

Huwa naangalia zaidi Habari imeandikwa wapi na je sio fake news?
Nafungua macho zaidi
 
Google is just a searching engine , remember.
 
Back
Top Bottom