Nini kinaendelea VodaCom M-Pesa?

Nini kinaendelea VodaCom M-Pesa?

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
481
wana jf huduma ya vodacom m-pesa huku wilayani Tarime haifanyi kazi toka mida ya mchana hadi muda huu wa usiku,vp maeneo mengine je mmekumbana na hili tatizo.

binafsi tangu Jmosi jioni kuna hela natakiwa nizitoe ili zifanye kazi iliyokusudiwa lakini nimeshindwa na sijui lini m-pesa itarudi kama kawaida, nawaza yasije yakawa kama ya DECI,
naani hii huduma itakuwa imeathiri wengi, tiririka ilivyokuathiri,
 
Nadhani lilikuwa tatizo la nchi nzima au baadhi ya maeneo/miji!

Huduma imerejea majira ya saa sita leo jumapili!
 
binafsi tangu Jmosi jioni kuna hela natakiwa nizitoe ili zifanye kazi iliyokusudiwa lakini nimeshindwa na sijui lini m-pesa itarudi kama kawaida, nawaza yasije yakawa kama ya DECI,
naani hii huduma itakuwa imeathiri wengi, tiririka ilivyokuathiri,
 
Hawa wapuuzi wamenisumbua week end nzima! Bila means zingine mishe zangu zingefeli
 
Vodacom watuambie nini shida jaman..............

yaani hapa hata sielewi
 
Hawa voda wamefanya ujinga sana. Sijui ni customer care gani hii hata taarifa kwa wateja hakuna. Binafsi sijui nitawaamini lini tena na hela. Au magamba wameshakopa na huku?
 
Mkuu Maniwesti1 Umesema kweli kabisa hawa jamaa hawajatoa taarifa kwa umma licha ya kuwa huduma hii kuwa haiko hewani toka siku ya jumamosi hadi muda huu. Mimi natafuta vifungu vya sheria niwashitaki kwa kukaa na pesa yangu muda wote huo na kunizuia kuitoa kama makubaliano ya huduma hii yanavyotaka.
 
Watumiaji wa mtandao huu wa simu, mpesa haifanyi kazi siku ya tatu bila feedback yoyote , sisi tunaofanya transactions nyingi kwenye mpesa sasa ni hasara kubwa sana tunalazimika kukopa pesa, ndoa zinatingishika, msongo wa mawazo nk

Kwahiyo nadhani tungewashitaki hawa jamaa watufidie hasara hii kubwa katika siku hizi chache
 
yes its good idea, kuna mamlaka zinazosimamia haki za wanunuzi na watumiaji wa huduma, muda huu ndio inabidi wafanye kazi yao.

kweli haiwezekani system ya MPESA ikashindwa kufanya kazi zaidi ya siku mbili while kuna watu wanaakiba zao za fedha
 
Bongo customer care hakuna kabisa maana naamini hawashindwi kuwatumia watuja taarifa kuhusu kunachoendelea.
 
Nyie ni kina nani bana! Wenye pesa wanaweka hela benki, hiyo pesa ya mawazo tu ndiyo transaction zake zinapita MPESA, ha ha ha!

Hayo ndiyo mawazo ya mabosi wa Voda! Halafu ukichukulia kwamba wameiweka mjini serikali.
 
Ni hela ya mawazo sawa lkn combined savings za walalahoi zilizohifadhiwa mpesa v.com ni zaidi ya combined savings za CRDB . NMB na NBC. unaweza usiamini lkn ukweli ndio huo.
kama una mtu pale voda switch muulize hela iliyopo pale na utashangaa mkuu.
 
Wadau ni siku ya tatu sasa transaction ya M-Pesa ni shida! Customer care number inaita mpaka inakata haipokelewi!! Mwenye habari yeyote atujuze!
 
Wadau ni siku ya tatu sasa transaction ya M-Pesa ni shida! Customer care number inaita mpaka inakata haipokelewi!! Mwenye habari yeyote atujuze!

Ndugu mteja, tunashughulikia tatizo la kiufundi kwenye huduma ya M-Pesa na tunakuhakikishia pesa zako ziko salama. Tutakujulisha mara tu huduma itakaporejea.

hujapata hiyo msg?
 
tahadhari usikute kuna wajanja wamevuruga mambo
 
Ndugu mteja, tunashughulikia tatizo la kiufundi kwenye huduma ya M-Pesa na tunakuhakikishia pesa zako ziko salama. Tutakujulisha mara tu huduma itakaporejea.

hujapata hiyo msg?

Ndiyo nimeipata kwako!
 
Ukiona hivi ujue jamaa wa voda wameshavuna vya kutosha na sasa wamekimbia. Yale yale ya shoprite!!
 
Back
Top Bottom