Mkuu,
I am afraid to tell kwamba umepotea na huijui hii dunia vizuri.
Ingekuwa UN ni kimbilio la kweli, leo hii kusingekuwa na Guantanamo, Iraq ingetawaliwa kama watu wake wanavyotaka, Libya ingekuwa governable, George Bush angekuwa brought to justice, Israel and Palestine wangepata ufumbuzi, Burma ingekuwa kwenye front pages, Dalai Lama asingekuwa activist, the genocide in Rwanda wouldnt even be imaginable. Endelea kusubiri UN na mahakama ya kimataifa ikupe haki yako na kukulindia mipaka yako, sisi watanzania tutalinda mipaka yetu wenyewe!!!