Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,591
Toka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba sana Mungu amponye mtoto wake, kuna nini?
Je? Hivi kwa akili ya kawaida mtu anapitia magumu ya kuuguliwa mtoto maombi yake na Mungu anayapeleka social media au Mungu ana account kule? Au ni madrama kama yaleyale walimwengu walisema amemtoa mwanaye kafara na hii pia anataka kutufanya walimwengu tuamini anaomba Mungu yasitokee yaliyotokea kumbe master ni yeye mwenyewe (anakula tumbo lake?)
Wajuzi mkuje huku (aliwahi kuwa rafiki wa Wema sepetu, akawa mpenzi wake Castor Dickson yule mtangazaji wa kituo gani sijui, alifiwa mtoto msiba wa mtoto wake ukawa na drama nyiiingi kama movie vile, akaja akafanya surgery ya shape na sura akaweka hadi dimpoz moja ya shavu 😄
Evelyn Salt
Kasie
Mshangazi dot com
Mahondaw