Nini kinaendelea kwa Muna love?

Nini kinaendelea kwa Muna love?

Alafu mtoto alikuwa wa ndani ya ndoa maana yule baba alitoa hadi cheti cha ndoa mtoto alizaliwa ndani ya ndoa dah yule mtoto basi bana Apumzike tu kwa amani ila hata kama.....mama yake alikuwa na siri
Mazingira ya hivyo hata kama story za kafara ni za uongo, mama mtu anafanya hadi zionekane kweli, afu baada ya msiba tu bata likaanza akaweka na takko la bandia 🙌
 
Mambo kwa ushahidi......
Screenshot_20250414-144223.jpg

Screenshot_20250414-144316.jpg

Screenshot_20250414-144212.jpg
 
Toka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba sana Mungu amponye mtoto wake, kuna nini?
Je? Hivi kwa akili ya kawaida mtu anapitia magumu ya kuuguliwa mtoto maombi yake na Mungu anayapeleka social media au Mungu ana account kule? Au ni madrama kama yaleyale walimwengu walisema amemtoa mwanaye kafara na hii pia anataka kutufanya walimwengu tuamini anaomba Mungu yasitokee yaliyotokea kumbe master ni yeye mwenyewe (anakula tumbo lake?)
Wajuzi mkuje huku (aliwahi kuwa rafiki wa Wema sepetu, akawa mpenzi wake Castor Dickson yule mtangazaji wa kituo gani sijui, alifiwa mtoto msiba wa mtoto wake ukawa na drama nyiiingi kama movie vile, akaja akafanya surgery ya shape na sura akaweka hadi dimpoz moja ya shavu 😄
Evelyn Salt
Kasie
Mshangazi dot com
Mahondaw
Ndio nani huyo huko Dar es salaam?!

Muwe mnaeleza kinaganaga sio wote tunaoishi huko dar.
 
Mtoto alikua ananyonya kidole
Akashauriwa amuweke plasta,akaweka baadae pakavilia maji pale kwa kidole akamtoa plasta,yule mtoto kile kidole akaanza kukinyonya Tena,ndo kimekua cheusi kimemletea madhara pia inasemekana kuna uwezekano wa kukatwa vidole yule mtoto Kwa kua vimekua vyeusi tii like vimeingia sumu
 
Mtoto alikua ananyonya kidole
Akashauriwa amuweke plasta,akaweka baadae pakavilia maji pale kwa kidole akamtoa plasta,yule mtoto kile kidole akaanza kukinyonya Tena,ndo kimekua cheusi kimemletea madhara pia inasemekana kuna uwezekano wa kukatwa vidole yule mtoto Kwa kua vimekua vyeusi tii like vimeingia sumu

Mmhh mbona rahisi rahisi sana jamani.....

Haujambo, za siku
 
Mungu anamuadhibu kwasababu anamkufuru. Anajifanya mtu wa mungu lakini matendo na muonekano wake ni wa ki-devil kabisa.

Namuombea mtoto apone lakini Muna aache showoff za kidevil devil halafu hapo hapo anajifanya mtu wa Mungu.
 
Mmhh mbona rahisi rahisi sana jamani.....

Haujambo, za siku

Mmhh mbona rahisi rahisi sana jamani.....

Haujambo, za siku
Sio rahisi dear ni mtihani umemkuta
Mungu ndo mbuzi wa hilo
Yawekezekana alikua ana ugonjwa toka zamani hvyo hyo ndo ikawa sabbabu ya yote hayo
Sijambo mhenga mzima lakini shogaa
 
Sio rahisi dear ni mtihani umemkuta
Mungu ndo mbuzi wa hilo
Yawekezekana alikua ana ugonjwa toka zamani hvyo hyo ndo ikawa sabbabu ya yote hayo
Sijambo mhenga mzima lakini shogaa
Mie mzima kabisa.

Sema muna ana drama kiasi kwamba yanayoendelea inakua kama maigizo tu.
 
Siamini km kweli katoa kafara hii dunia ina mambo sana majaribu yanawakuta watu makubwa mnoo Kwa watoto,siwezi kommenti kwenye hili
Mimi niliuguza mwanangu sina hamu ,lau kama ningekua tajiri wangesema nataka kutoa kafara nashukuru amepona ila wanaadamu ni wabaya mnooo
Huyo Hawa Mussa ukute mchawi ndo yeye,huwezi mfata mtu anaeuguza mwanawe na alifiwa na mwanawe ukamuambia maneno mazito km hayo,iwe kweli au siyo kweli hata kama rafiki yake alipaswa atafute njia nzuri kumfariji
Mtoto anauma jamani Yarraii...viatu vya Munnah havitoshi kabisa na huyo Munna Hana huo utajiri wa kutisha kutoa kafara siwezi msemea ila sitaki kuamini kama anaweza fanya hvyo maana nae anahangaika na maisha kama sisi labda hyo kwenda kwa waganga kufanya upuuzi wao kusafisha nyota na mvuto ila jamani Kafara mwehh sio kitu kidogo atiii
Na simlaumu kuposti IG hii dunia kila mtu ana namna yakupata relief ktk mambo yake ndo maana wengine wanaleta JF ili kupata faraja ktk mioyo yao
Mungu amponye mtoto wake.
 
Huyu aliokoka shuhuda yake IPO kwenye kitabu Cha NGUVU INAYOBADILISHA
NI project inayoeleza shuhuda za watu mbalimbali waliookoka zamani walikuwa wachawi mashoga wafanyabiashara n.k ni project Kali Sana Wana blog account social n.k kitabu nilikiopata hard copy NGUVU INAYOBADILISHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom