Siamini km kweli katoa kafara hii dunia ina mambo sana majaribu yanawakuta watu makubwa mnoo Kwa watoto,siwezi kommenti kwenye hili
Mimi niliuguza mwanangu sina hamu ,lau kama ningekua tajiri wangesema nataka kutoa kafara nashukuru amepona ila wanaadamu ni wabaya mnooo
Huyo Hawa Mussa ukute mchawi ndo yeye,huwezi mfata mtu anaeuguza mwanawe na alifiwa na mwanawe ukamuambia maneno mazito km hayo,iwe kweli au siyo kweli hata kama rafiki yake alipaswa atafute njia nzuri kumfariji
Mtoto anauma jamani Yarraii...viatu vya Munnah havitoshi kabisa na huyo Munna Hana huo utajiri wa kutisha kutoa kafara siwezi msemea ila sitaki kuamini kama anaweza fanya hvyo maana nae anahangaika na maisha kama sisi labda hyo kwenda kwa waganga kufanya upuuzi wao kusafisha nyota na mvuto ila jamani Kafara mwehh sio kitu kidogo atiii
Na simlaumu kuposti IG hii dunia kila mtu ana namna yakupata relief ktk mambo yake ndo maana wengine wanaleta JF ili kupata faraja ktk mioyo yao
Mungu amponye mtoto wake.