TuelezeeKuna mtu alinipa story moja hv nikaogopa
Kwani aliolewa na nani?Mtoto alikua wa casto na amefanana na casto sana hii kitu casto alinyamaza kimya hakusema lolote..ila hapana wanawake mna mambo yanatisha sana
Unique FlowerMuna Love namjua tena tokea yule.mtoto wake w akwanza na huyu wajuzi
Khaaa Evelyn SaltAkafe mbele kigagula huyu
Si ndio yule alisema mtoto kauliwa na bodaboda sijui huko Dom?
Huyu kachanganya mafaili 😂😂 huyo wa dom ni mwingine sio muna
Huo mtandao wa kafara siku hizi unaweza ukaunganishwa bila hata kujua aidha na ndugu, mpenzi au marafiki wa karibu,,,,,mtu wa pembeni anatoa ila unaonekana wewe ndo umefanya hivyoSiamini km kweli katoa kafara hii dunia ina mambo sana majaribu yanawakuta watu makubwa mnoo Kwa watoto,siwezi kommenti kwenye hili
Mimi niliuguza mwanangu sina hamu ,lau kama ningekua tajiri wangesema nataka kutoa kafara nashukuru amepona ila wanaadamu ni wabaya mnooo
Huyo Hawa Mussa ukute mchawi ndo yeye,huwezi mfata mtu anaeuguza mwanawe na alifiwa na mwanawe ukamuambia maneno mazito km hayo,iwe kweli au siyo kweli hata kama rafiki yake alipaswa atafute njia nzuri kumfariji
Mtoto anauma jamani Yarraii...viatu vya Munnah havitoshi kabisa na huyo Munna Hana huo utajiri wa kutisha kutoa kafara siwezi msemea ila sitaki kuamini kama anaweza fanya hvyo maana nae anahangaika na maisha kama sisi labda hyo kwenda kwa waganga kufanya upuuzi wao kusafisha nyota na mvuto ila jamani Kafara mwehh sio kitu kidogo atiii
Na simlaumu kuposti IG hii dunia kila mtu ana namna yakupata relief ktk mambo yake ndo maana wengine wanaleta JF ili kupata faraja ktk mioyo yao
Mungu amponye mtoto wake.
Nami nimehisi hiviHuo mtandao wa kafara siku hizi unaweza ukaunganishwa bila hata kujua aidha na ndugu, mpenzi au marafiki wa karibu,,,,,mtu wa pembeni anatoa ila unaonekana wewe ndo umefanya hivyo
Hapa umesema maana ujasiri wa Muna sio bure una kichaa ndani yakeSie twamuita mnafiki wa dini
Yule aliwahi sema anaendaga Kwa waganga ila kaacha na hawa wasanii wa bongo hizo ndo mambo zao...kuroga...Kuna yule mganga wa 'rudi Kwa bibi kinondoni', mwingine Yuko Magomeni mmemsahau jina,mbagala chemchem,nk,ila washirikina haswaaaaa....wengi wao km yupo asoroga sijui
Uwoya mwenyewe kisa Cha kuokoka ni alipigwa juju nusu afee..famasiara Nini!!!
Tuwaombee tu ila Muna ni mgonjwa wa akili pia maana anafanya vitu km kichaaa
Nchi hii kila mtu msanii kama kongo vileAisee, mimi sijui huyo Muna Love ni nani. Naomba background kwanza!