Nini kinaendelea kwa Muna love?

Nini kinaendelea kwa Muna love?

Ndo kinamgharimu hukoo hata kama kweli ana shida watu wanamuona msanii tu
Kwanza sijui kapatana na mama ake Sasa hv
Sasa kama drama za ule msiba wa mwanae, kweli jamani ufiwe na mtoto hizo nguvu za maigizo unapata wapi mara mwili unasubiriwa airport mara kaupenyeza mapema 🙌
 
Mungu anamuadhibu kwasababu anamkufuru. Anajifanya mtu wa mungu lakini matendo na muonekano wake ni wa ki-devil kabisa.

Namuombea mtoto apone lakini Muna aache showoff za kidevil devil halafu hapo hapo anajifanya mtu wa Mungu.
Alafu Mungu mwenyewe anaenda kumuitia Instagram au mambo yamebadilika Mungu anapatikana huko sie hatujui sisi tunajua Mungu yuko sirini kumbe watu wanawasiliana naye moja kwa moja na hawatwambii
 
Huyu aliokoka shuhuda yake IPO kwenye kitabu Cha NGUVU INAYOBADILISHA
NI project inayoeleza shuhuda za watu mbalimbali waliookoka zamani walikuwa wachawi mashoga wafanyabiashara n.k ni project Kali Sana Wana blog account social n.k kitabu nilikiopata hard copy NGUVU INAYOBADILISHA
Wokovu ni nini? Aliokoka hatukatai, baada ya hapo akaenda zake kumkosoa Mungu alivyomuumba akajichonga shape, akaweka na dimple ya shavu moja, alafu sijui baadaye akaitoa, na hiyo ni ndani ya wokovu anaotutangazia....ameokoka Yesu wake anamuandikia slides Instagram 😄😄😄😄 nyie acheni bana
 
Siamini km kweli katoa kafara hii dunia ina mambo sana majaribu yanawakuta watu makubwa mnoo Kwa watoto,siwezi kommenti kwenye hili
Mimi niliuguza mwanangu sina hamu ,lau kama ningekua tajiri wangesema nataka kutoa kafara nashukuru amepona ila wanaadamu ni wabaya mnooo
Huyo Hawa Mussa ukute mchawi ndo yeye,huwezi mfata mtu anaeuguza mwanawe na alifiwa na mwanawe ukamuambia maneno mazito km hayo,iwe kweli au siyo kweli hata kama rafiki yake alipaswa atafute njia nzuri kumfariji
Mtoto anauma jamani Yarraii...viatu vya Munnah havitoshi kabisa na huyo Munna Hana huo utajiri wa kutisha kutoa kafara siwezi msemea ila sitaki kuamini kama anaweza fanya hvyo maana nae anahangaika na maisha kama sisi labda hyo kwenda kwa waganga kufanya upuuzi wao kusafisha nyota na mvuto ila jamani Kafara mwehh sio kitu kidogo atiii
Na simlaumu kuposti IG hii dunia kila mtu ana namna yakupata relief ktk mambo yake ndo maana wengine wanaleta JF ili kupata faraja ktk mioyo yao
Mungu amponye mtoto wake.
Hivi zile drama za ule msiba wa mtoto wake unazikumbuka ama ulizisikia? Mtoto anauma, watu tunapata majaribu ndiyo, ila sasa huyo dada ana nguvu wakati wote, kwenye mitandao baada tu ya kuzika akaenda zake kuchonga shape na kutengeneza sura aaahhh weee unacheza na kufiwa mtoto acha kabisa
 
Yesu anaambiwa "hii slide ya pili YESU" 🙄
Kama mama wa mtoto, mtoto yuko kwenye critical illness unapata muda wa kumuandikia msg Yesu, na kuangalia watu wansema nini na kuwaquote hahahah wasitutanie bana anayejua kinachoendelea aje atuambie
 
Mtoto alikua ananyonya kidole
Akashauriwa amuweke plasta,akaweka baadae pakavilia maji pale kwa kidole akamtoa plasta,yule mtoto kile kidole akaanza kukinyonya Tena,ndo kimekua cheusi kimemletea madhara pia inasemekana kuna uwezekano wa kukatwa vidole yule mtoto Kwa kua vimekua vyeusi tii like vimeingia sumu
Ndiyo yaliyotokea kwa mtoto wa Muna?
 
Siamini km kweli katoa kafara hii dunia ina mambo sana majaribu yanawakuta watu makubwa mnoo Kwa watoto,siwezi kommenti kwenye hili
Mimi niliuguza mwanangu sina hamu ,lau kama ningekua tajiri wangesema nataka kutoa kafara nashukuru amepona ila wanaadamu ni wabaya mnooo
Huyo Hawa Mussa ukute mchawi ndo yeye,huwezi mfata mtu anaeuguza mwanawe na alifiwa na mwanawe ukamuambia maneno mazito km hayo,iwe kweli au siyo kweli hata kama rafiki yake alipaswa atafute njia nzuri kumfariji
Mtoto anauma jamani Yarraii...viatu vya Munnah havitoshi kabisa na huyo Munna Hana huo utajiri wa kutisha kutoa kafara siwezi msemea ila sitaki kuamini kama anaweza fanya hvyo maana nae anahangaika na maisha kama sisi labda hyo kwenda kwa waganga kufanya upuuzi wao kusafisha nyota na mvuto ila jamani Kafara mwehh sio kitu kidogo atiii
Na simlaumu kuposti IG hii dunia kila mtu ana namna yakupata relief ktk mambo yake ndo maana wengine wanaleta JF ili kupata faraja ktk mioyo yao
Mungu amponye mtoto wake.
Tatizo sio kupost tu.
Tatizo amejiweka kama ni mtu flani hivi wa Mungu lakini mambo anayofanya ni against na Mungu. Sisi walimwengu lazima tutaongea tu maana ndivyo tulivyo hatuwezi kukaa kimya.
Huwezi kujiita mtu wa mungu kila siku unavaa hovyo, unafanya sugery na mengine mengi halafu umuombe Mungu akusikilize.
Kama kweli Mungu yupo basi hataki huo upuuzi, labda kama ana Mungu wake tofauti na wengine.
 
Anayesoma slide Instagram 😀
 
Sasa kama drama za ule msiba wa mwanae, kweli jamani ufiwe na mtoto hizo nguvu za maigizo unapata wapi mara mwili unasubiriwa airport mara kaupenyeza mapema 🙌
Yaani ile ilikuwa hatari😀😀 anacheza drama hadi kwenye msiba wa mwanaye watu wanasubiri wapokee mwili kumbe ushapita kausafirisha kama kifurushi yeye kapanda zake gari nyingine mwili ushatangulia ili baba mzazi asijue
 
Anajitengenezeq maadui wa kufikirika itakuwa either akili yake imemgeuka

Akili ya binadamu inaweza kukugeuka yaani akili yako mwenyewe

Ndo maana hata Kama wewe MTU wa dini unabidi kuwa na Imani katika maisha na sio kuamini kila baya linalokutokea ni zao la watesi wako.

Mwaka 2011 , mjomba akifiwa na mtoto wake kwa ajali ya umeme ilimuumiza Sana na mtoto wake alikuwa na miaka Kama 13 hivi

Na mwaka uliofata mwanae mwingine alimuwa akaka ICU

Ilibidi wajiandae na mazishi Ila alikuja kupona.

So situation Kama hizi ukiwa hauna Imani unaweza kujiua na kuona maisha kwako hayana maana

So Faith is everything also private is power .

Hii mitandao inawafanya watu wanakuwa wajinga kwa kupenda likes na comment
 
Kilichompata hasa ni nini wajameni? Sitamani huyo mtoto asiishi
 
Tatizo sio kupost tu.
Tatizo amejiweka kama ni mtu flani hivi wa Mungu lakini mambo anayofanya ni against na Mungu. Sisi walimwengu lazima tutaongea tu maana ndivyo tulivyo hatuwezi kukaa kimya.
Huwezi kujiita mtu wa mungu kila siku unavaa hovyo, unafanya sugery na mengine mengi halafu umuombe Mungu akusikilize.
Kama kweli Mungu yupo basi hataki huo upuuzi, labda kama ana Mungu wake tofauti na wengine.
Sie twamuita mnafiki wa dini
Yule aliwahi sema anaendaga Kwa waganga ila kaacha na hawa wasanii wa bongo hizo ndo mambo zao...kuroga...Kuna yule mganga wa 'rudi Kwa bibi kinondoni', mwingine Yuko Magomeni mmemsahau jina,mbagala chemchem,nk,ila washirikina haswaaaaa....wengi wao km yupo asoroga sijui
Uwoya mwenyewe kisa Cha kuokoka ni alipigwa juju nusu afee..famasiara Nini!!!
Tuwaombee tu ila Muna ni mgonjwa wa akili pia maana anafanya vitu km kichaaa
 
Sasa kama drama za ule msiba wa mwanae, kweli jamani ufiwe na mtoto hizo nguvu za maigizo unapata wapi mara mwili unasubiriwa airport mara kaupenyeza mapema 🙌
Mpuuzi yule
Mi namuonaga km chiziii vileer
🤣😄😄😄
 
Ndio hvyo wanavodai
Yeye naye kiherehere mtoto bado mdogo kunyonya vidole ni kawaida, labda alimfunga muda mrefu na kwa kubana sana mishipa damu ikawa haitembei ikapelekea mishipa nyama kuoza
 
Hee
Kumbe Muna ana mtoto? Wallah tangu afiwe na yule mwanae sijamfatiliaga tena wala mastar wa bongo naonaga upuuzi na drama za hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom