Nini kinaendelea katika jengo la LAPF usiku?

Nini kinaendelea katika jengo la LAPF usiku?

Status
Not open for further replies.
Mbona simpo tu
Floor ya 14 ndio kuna ukumbi

Wamezima taa kwa.sababu simema ndio itanoga.
Kuna kanisa limekodi huo ukumbi wa floor ya 14 kwaajili ya shughuli zake.

Wanaoenda.bila kujua wanachofata wanamatatizo yao
 
Habari wakuu,Leo nimejionea mambo hatari sana imenilazimu niyalete hapa jamvini wenye kujua undani wake mtujuze...
Mida ya saa moja jioni giza likiwa limeingia Leo,niliona utitiri wa vijana wadogo KE/ME wakiingia kwenye jengo la LAPF floor ya 14.
Nilipo uliza mmoja wapo nikaambiwa kuwa kuna sinema maalumu ya dini imeandaliwa na watu fulani,

Na pia vijana wengi hawaijui ni sinema gani wala inaitwaje lkn wanaingia pia hawajui hata ni kanisa gani limeandaa,nikachukua hatua kufuatilia na kukuta vijana mabinti wazuri sana na wakiume wengine wakishikana shikana. Mimi nikajiuliza maswali JE?

1. Kwanini sinema usiku na ukumbi wa jengo umezimwa taa?
2. Kwanini ni vijana wabichi hakuna hata watu wazima au viongozi wa kanisa?
3. Kwanini kama ni sinema ya kanisani ionyeshwe LAPF tena floor ya 14 juu na sio kanisani?
4. Kwanini vijana wanaoingia wengi hawajui hata walioandaa ni akina nani?
5. Kwanini floor ya 14 na isiwe popote panapofikika kwa wepesi?

Maswali haya nimejiuliza saaana naomba kama kuna mtu anafahamu hii kitu anipe hapa mustakabali wake au ndio mfumo wa Satanism unajieneza?

Asanteni na Karibuni.
LAPF ya Dar au Dom mkuu
 
Brainwashing... Cinema bure,vinywaji na popcorn bure!wanaandaa mateka..naam watawapata vizuri kwa style hiyo..Lakini natahadharisha mamlaka zichunguze vizuri hii isije kuwa vyama vyenye siri wenyewe wanaviita vyama vya siri"secret societies "
 
LAPF ya wapi ? nchi gani, mji gani haueleweki mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom