Safari picha zako zote huwa ni ZAU CHOKOZI:teeth:Jamaa kwenye baiskeli hadi shingo kakunja...Mdada kombe/bohora la kuchotea maji (sina uhakika kama siyo muuza KIMPUMU hivyo yaweza kuwa KIPIMIA Mapuya) kaamua kuking'ata kabisaaa......KWA MTAZAMO WANGU HII NI KUFYAGIA NJIA KWA AJILI YA MAPENZI TUUU
mkuu Safari_ni_Safari, naamini hata yule anayekuchukia lazima atafika sehemu akubali mambo yako maana unatisha.
Hapa mbona kama znj vile maana Bukoba/Moshi/mbeya hakufanani, au Kimanzichana!?