Nini kinachochea mtu kwenda kutembelea kwao?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,713
Reaction score
57,224
Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa majanga.Na mtu anajivunia kabisa kutokuwa na maelewano mazuri na watu wa kwake.
 
It depends na mahusiano yake na ndugu zake.

Kuna ndugu walio zaidi ya hamas.
 
Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa majanga.Na mtu anajivunia kabisa kutokuwa na maelewano mazuri na watu wa kwake.
Huyu atakua msonjo hawa wasonjo ni watemi wamelelewa kikomandoo nyumbani kwao sio jambo la msingi sana
 
Back
Top Bottom