Nini kimetokea kwa ndege yetu ya Bombardier kusukumwa?

Hiyo stage Simba anafungwa tano hamna timu ya Kenya imefika kwa miaka zaidi ya 15! halafu fuatilia hilo group la Simba uone Simba ilivyo jikusanyia points za kutosha. We are on to the quarter finals, no body knows Kenya kwenye CAF Champions League.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tihihi...The only sport Danganyika is Known for ni ile ya kuzaana Kama Panya....Nenda mbali na makamasi
 
Zitto barafu

Ujumbe uwafikie pia pale lumumba...

mgonjwa mtambuka jingalao ISIS na wengine wenye akili kama za hawa.

Swali ni je, kwanini CAG alizuiwa asikague hizi ndege?

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hii
Screenshot_20190218-193122.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jambo ulielewi kuwa mtulivu ueleweshwe. Kuna gari maalumu ambalo utumika kuzitoa ndege point A kwenda Point B kabla Ndege haijaruka. Izo huduma zinatolewa apo uwanjani na inategemea kama ina sogezwa au kunashida kama iyo. Sasa ulitaka iyo ndege itembee na icho kigari cha kusogeza Ndege?

Sent using Jamii Forums mobile app

Madge mabavu tatizo lako bashite ni tumbo lako tu sasa hicho Kigari kikowapi hadi watu wasukume
 
Kwaiyo umenda south africa tu ndio una jiona mjanja!?
Hiyo nimesema tu ili muone hata hapa Africa kuna nchi ambazo ndege ni kama mabasi ya ubungo, nikikuambia America au Europe utaona huko ni dunia nyingine.
 
Watanzania mmenishinda, huyu raisi MAGUFULI kuna kipindi alikuwa waziri, akasikia Watanzania wakisema CCM imeua shirika letu la ndege, naamini moyoni akaahidi kwamba siku nikiwa raisi nitalifufua, alipoupata uraisi akaamua kulifufua, sasa yanayomkuta nafikiri anajuuta kuwajua Watanzania. HII ndiyo siasa.
 
Watanzania mmenishinda, huyu raisi MAGUFULI kuna kipindi alikuwa waziri, akasikia Watanzania wakisema CCM imeua shirika letu la ndege, naamini moyoni akaahidi kwamba siku nikiwa raisi nitalifufua, alipoupata uraisi akaamua kulifufua, sasa yanayomkuta nafikiri anajuuta kuwajua Watanzania. HII ndiyo siasa.
 
Wakenya ndio kina nani mpaka wana kutisha kusukuma ndege ni jambo la kawaida sana

kwako ni la kawaida, ila kimataifa si la kawaida. Ni sawa na huyo mwenzako aliyetuma picha za OLYMPIC za kuvuta ndege akilinganisha ni hii ya KUSUKUMA!
 
Suala la ndege ya kubeba abiria kusukumwa mfano wa gari au mkokoteni si la kawaida katika macho ya wengi ulimwenguni.

Lakini hili limetokea Tanzania, nchi inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli.

Katika video inayosambaa mtandaoni ambayo TUKO.co.ke imefanikiwa kuiangalia kwa makini na inayosadikiwa kunaswa na raia wa TZ, watu wanaonekana wakiisukuma ndege ya abiria ambayo ilikomba nje ya njia yake na walikuwa wakiiregesha kwenye lami.

Wakati mnasaji wa video hiyo akishuhudia tukio hilo, wanasikika jamaa wawili wakisema hakika ni aibu kubwa kwa kitu kama hicho kutokea Tanzania.
“…. Air Tanzania wamefulia yani.” mmoja wao anasema.


Fuatilia hiyo video humu (Nini kimetokea kwa ndege yetu ya Bombardier? - JamiiForums)

SOURCE:
Watanzania washangaza ulimwengu kwa kusukuma ndege kama matatu
Soma hapa
Screenshot_20190218-193122.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom