Sasa ukilia wakati umeambiwa mgonjwa ana mafua je ukiambiwa ni terminal illness?
Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.Sasa ukilia wakati umeambiwa mgonjwa ana mafua je ukiambiwa ni terminal illness?
Nambie depay nasikia umeamua kujiajili na new business in Nairobi CBD, SLUM TOURIST GUIDER,nipe siri inalipa?Tihihi...The only sport Danganyika is Known for ni ile ya kuzaana Kama Panya....Nenda mbali na makamasi
Ni kitu cha kawaida, hata mataifa yaliyoendelea hufanyika hicho kitu.
nitajie ndege nzima basikwahivyo ndege yenyewe ni mbovu?? ....sina la ziada!
Tatizo watu hawajui kama suala la pushback service sio la shirika la ndege bali ni la Airport.Hapo siyo JNIA kwanza, huyo ni mpiga zumai wa Jubilee ata kuchosha tu. Hajui hili wala lile, yupo yupo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Embrae ilikua inajisukuma na engine yake!Hizo emberer ziligongana zilikuwa zinasukumwa na TUG? Mbona unaficha aibu ya nyumbani huku ukishabikia jambo la kawaida sana
Report says the planes were in hanger undergoing maitenance.1.Embrae ilikua inajisukuma na engine yake!
2. Embrae ziko na zaidi ya miaka kumi ya matumizi tangu zinunuliwe
reports gani hizo... Video inaonyesha ndege ikitolewa kwa runway!!!Report says the planes were in hanger undergoing maitenance.
The number of planes is immaterial when net assets is negative
Hapo shida ni airport kutokuwa na tugs za kutosha, ATCL hawana kosa.
Si jambo la ajabu hata nchi nyingine hutokea.
The incredible moment airport workers PUSH 36-tonne passenger plane after technical fault | Daily Mail Online
Historia ya aviation ina ajali nyingi sana zinazotokana na marubani kutumia runway zilizofungwa.Je ni waongoza ndege walikosea kumwelekeza rubani, au hakuna alama za kutosha kuonesha njia imefungwa au ilikuaje rubani akaingia kwenye runway iliyofungwa?Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Kwa Mujibu wa maelezo yake ni kuwa Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Kwani kuharibika kitu ni ajabu kwa ndege?Watanzania wengi hapa hawapendi ukweli. Kama ndege ni mbovu basi ukweli usemwe...ATCL bure kabisa povu ruksa
Hapo shida ni airport kutokuwa na tugs za kutosha, ATCL hawana kosa.
Si jambo la ajabu hata nchi nyingine hutokea.
The incredible moment airport workers PUSH 36-tonne passenger plane after technical fault | Daily Mail Online
Na sasa hivi wamevamia visima vyao vya mafuta. wasubiri mkong'oto tu. Just to remind them hatuna makambi ya wakimbizi kutoka huko; tutawarudisha wote