Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,299
- 6,591
Nakumbuka magwiji hawa wa siasa wakiwa chama pendwa kipindi kileee walikuwa hawapatani kabisa. Sumaye alidiriki kusema chama kikimpitisha Lowassa atarudisha kadi yake. Je ni kwanini Lowassa alipohama Chama pendwa Sumaye alimfuata? Tena walisafiri kwa helicopter moja bampa to bampa kuusaka urais 2015 kote nchini. Mwenye majibu anipe maana nashangaa sana siasa hizi na hadi Leo sijui nini kimetokea. Rejea rafu za Lowassa huko Hanang kwa Sumaye dhidi ya Marry Nagu kwenye uchaguzi wa NEC- Chama pendwa kipindi kileeeeee!!