Nini kimetokea kati ya Lowassa na Sumaye

Nini kimetokea kati ya Lowassa na Sumaye

Mnawachokonoa ili nao waseme kitu ili muwaweke ndani...
 
They are partners in crime! Everybody needed one another to acomplish his goals. Lowassa needed Sumaye to take the presidency while Sumaye needed Lowassa to punish the elites of CCM for putting him away from the throne of glory for ten years after retirements. Sumaye kilimuuma zaidi ile nafasi yake CCM walipompa Mary Nagu... Since then Sumaye had hostile intentions against CCM...
 
wapo chadema kwa ajili ya maslahi yao binafsi usifikiri wamekwenda huko kutetea wanyonge kama wanavyotaka kutuaminisha.
 
Mh. Sumaye mpaka kesho hapatani na Mh. Lowassa kutoka moyoni. Hata Sumaye alipokwenda Chadema halikuwa jambo lililomfurahisha Lowassa. Na lilifanywa siri kwa Lowassa mpaka alipotangaza kuungana na UKAWA. Mtakumbuka kuwa Sumaye mwanzoni alitangaza kuwa kajiunga UKAWA ila ni chama kipi atafafanua baadaye. Ukweli ni kuwa Sumaye alikwenda Chadema kama BACK-UP. Chadema waliamini kuwa Mh Lowassa angechoka njiani na kwamba mtu ambaye angeendeleza mapambano ya uongozi angekuwa Sumaye. Kwa bahati nzuri Lowassa hakuchoka kama dalili zilivyoonyesha a kwa bahati mbaya zaidi kwa Sumaye ni kuwa Lowassa anazidi kuimarika kiafya zaidi sana kuliko wakati akiwa kwenye harakati za urais 2015. Mpaka kesho Sumaye na Lowassa hawaivi.
Uko vizuri
 
Nakumbuka magwiji hawa wa siasa wakiwa chama pendwa kipindi kileee walikuwa hawapatani kabisa. Sumaye alidiriki kusema chama kikimpitisha Lowassa atarudisha kadi yake. Je ni kwanini Lowassa alipohama Chama pendwa Sumaye alimfuata? Tena walisafiri kwa helicopter moja bampa to bampa kuusaka urais 2015 kote nchini. Mwenye majibu anipe maana nashangaa sana siasa hizi na hadi Leo sijui nini kimetokea. Rejea rafu za Lowassa huko Hanang kwa Sumaye dhidi ya Marry Nagu kwenye uchaguzi wa NEC- Chama pendwa kipindi kileeeeee!!

ME AGAINST MY BROTHER,
ME AND MY BROTHER AGAINST MY COUSINS,
ME AND MY BROTHER AND COUSINS AGAINST OUTSIDERS.

WAARABU HUTUMIA SANA HIYO THEORY
 
IMG_9870.jpg

Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka magwiji hawa wa siasa wakiwa chama pendwa kipindi kileee walikuwa hawapatani kabisa. Sumaye alidiriki kusema chama kikimpitisha Lowassa atarudisha kadi yake. Je ni kwanini Lowassa alipohama Chama pendwa Sumaye alimfuata? Tena walisafiri kwa helicopter moja bampa to bampa kuusaka urais 2015 kote nchini. Mwenye majibu anipe maana nashangaa sana siasa hizi na hadi Leo sijui nini kimetokea. Rejea rafu za Lowassa huko Hanang kwa Sumaye dhidi ya Marry Nagu kwenye uchaguzi wa NEC- Chama pendwa kipindi kileeeeee!!
In politics, there is no permanent enemy mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa mimi huwa siamini kama Sumaye alihamia chadema ki kwelikweli nina imani alitumwa kwa special mission, naina amini huyu alikuja kuchunguza mikakati ya chadema na siri kuzipeleka ccm, hata ziara ya juzi alipo andamana na meya Jacob Sumaye wala hakuguswa ila Jacob aliishia mahabusu, hata lile shamba kunyang'anywa nina amnini ni zuga tu..Haya ni mawazo yangu wakuu.
Wote wawili wako CDM kwa kazi maalumu na viongozi wa CDM wanalijua hilo.
 
Ktk siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Ni maslahi tu yanayodumu. Lakini kwa issue ya Sumaye na Lowassa kipo cha ziada.Sumaye aliaminishwa Lowassa hatadumu kwa sababu ya afya yake hivyo kama mambo yangeharibika ni wazi angechukua nafasi..ndiyo maana alibadilisha gia angani. Sumaye ni mpenda madaraka aliyeshindikana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom