Kikao Cha siri Kati ya Sumaye Na Kikwete kilikuwa Cha nini?

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
KIKAO CHA KIKWETE NA SUMAYE MASAA 4 KABLA YA KUMSAPOTI LOWASSA KILIKUWA NA UMUHIM GANI?
Habari zenu nyote , kuna swali moja huwa najiuliza sana Leo hii baada ya kupata uhakika Kabla ya kukurupuka kusema chochote nimeamua nifanye uhakiki wa kujiridhisha kabisa

Mzee kikwete Na Mzee sumaye siku ambayo sumaye alijifanya kuanza kumuunga mkono lowassa walikutana katika hotel moja iliyopo kinondoni (jina nimeifadhi)
Hotelin hapo walipokutana hawakuwa wao wawili TU, Bali mheshimiwa aliambatana Na baadhi

walioambatana Na Mr jakaya ni
1. Mheshimiwa bulembo
2. Makongoro Nyerere
3. Mheshimiwa Suleiman jaffo
4. Hussein Bashe
5. ***********
6. Nape nnauye ,
Na vijana wengine ambao walikuwa kwenye land cruiser nyeusi yanye namba T**4 D*C
Kikao kilidumu kwa masaa 3, ambapo SUMAYE alionekana kama anapokea maelezo mbali mbali toka kwa waliokutana naye,

nakumbuka mhudumu wa hotel hiyo Rose Justin mwenye no:6*3 ya hotel alikuwa akitoa huduma katika meza Ile,

Baada ya masaa kadhaa nikahisi kuna Mtu anatumwa kukamilisha shughuli moja kwa moja

Baada ya muda wa maongezi SUMAYE akaagana nao akapanda gari, Na vijana nao kugeuza kuelekea maeneo yao,

Baada ya muda kijana mmoja ambaye kwa jina anaitwa Abdul razak wa ukonga, ni Askari, alipewa bahasha yenye maagizo kuipeleka moja kwa moja Serena hotel , ambapo waliokutana Na akina SUMAYE Na wafuasi wengine,

Muda huo huo kijana akaondoka, baada ya masaa kadhaa mbowe akawa Na la kuwaambia wananchi kupitia waandish wa habari,

KUWA SUMAYE ANA JAMBO LA KUWAELEZA,

KWA MSHANGAO MKUBWA NIKAJIULIZA HUYU SI NDO ALIKUWA NA AKINA KIKWETE NA BULEMBO?

ANY WAY NDO SIASA ZA TANZANIA

lakin je SUMAYE Anaweza kutuhakikishia vipi kuwa hajakwamisha hatua za upinzani kupitia maagizo alopewa?

Chini kuna watakao beza bila kujiuliza ni kweli kikao hicho kilikuwepo au lah?
Na kwann hii iandikwe Leo si siku zile?

Kwann iandikwe?

Kwann wasikutane IKULU? maana KIKWETE ALIKUWA bado Rais,
Kuna mengi ya kutafakari


NIMEREKEBISHA NAMBA ZA GARI NA NYINGINE NIMEONA SI VEMA KUWEKA WAZI
 
Hamna ambacho ni kipya chini ya jua, hivyo sishangai kama Sumaye ni pandikizi la ccm ndani ya upinzani
 
Back
Top Bottom