CUF na NCCR tayari vimeshakufa, hilo halina mjadala,swali ni je wafuasi wao wote watakwenda CHADEMA kama ambavyo CHADEMA wanajidanganyaUkawa wamebaki na chadema Huku msemaji akiwa ni Mbatia Halafu Lengo ni kuitoa au kuifuta cuf kwenye ramani ya siasa Tanzania ghafla mtu mwenye uwezo MKUBWA ambaye pia Cv yake waliobaki ukawa Hata robo hawaijui na ni Pekee aliyeitwa kujadili kinachoitwa na wanoijiita Wataalam ku-stabilize Anguko la uchumi wa marekani si mwingine ni Profesa wa uchumi ndugu Ibrahim lipumba kukinusuru hapo ndipo...... Jamani nitamalizia baadae nikiruhusiwa na lizaboni
Serukamba amewasha moto bungeni, serikali inahaha kutafuta majibu. Hali si shwari Lumumba maana wabunge wa CCM wameshaichoka serikali yao!Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.
kamaa hii nayo kazi na wenye kazi wasemeje?Najisikia faraja sana kufanya kazi hii
huu muda unaoutumiaga kuandika habari za chadema ungeutumia kufanya uenezi kwa chama chako chakavu, ila endelea kuwafanyia uenezi uliotukukaWadau, amani iwe kwenu.
Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
- Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
- Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
- CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
- CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
- Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Ni vigezo gani umetumia kupima akili za hao "CCM wote" vitumike kupima yako piahivi ni CCM wote hamna akili au ni wewe tu peke yako??
Muda di mrefu zimwi hilo hilo litatumika kuwamaliza CHADEMA wenyeweCHADEMA walishamaliza kazi ya kviua vyama vya NCCR na CUF sasa wawang'ang'anie wa nini tena?
Kwa hiyo kwa akili yako hivyo ndivyo viashiria ulivyoona! Na je hujaona viashiria vya kuumbuka kwa majangili ya tembo huko ccm?Wadau, amani iwe kwenu.
Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
- Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
- Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
- CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
- CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
- Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kuna mbunge eti wa ccm jina amekamatwa na bunduki za kufanyia ujangili...tufafanulie na hili ya ukawa waachie ukawaWadau, amani iwe kwenu.